kiumbe kipya
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 2,831
- 1,304
mwambie akawajaribu alete mrejeshoNani kakwambia ni wazembe??? Usidharau mtu kwa muonekano...dont judge a book by its cover my friend..hao watu wameiva wanajua ukujaribu utabroo...na Rais ana mambo mengi sio kila unauona hapo ni mlinzi wengine wana ditect hatari na wengine wanalinda sio kama mnavyodhani nyie
Kwahiyo kwa wenzetu ni mbwembwe ila sisi ndo tunajua?Toka lini walinzi wa Rais wakakimbizana na wahalifu?
Kumlinda Rais kunahitaji ukakamavu wa misuli?
Kumlinda Rais kunahitaji akili na Intellijensia ya hali ya juu basi. Hivyo vingine ni mbwe mbwe tu.
Tofautisha mwili mkubwa na kitambi kitambi hata watu wenye mwili wa kawaida wapo wengine wana vitambi , pia unatakiwa kujua unapozungumzia ulinzi (protection) na usalama(security) unazungumzia matumizi ya AKILI,SILAHA NA MWILIKwahyo unataka tuamini mtu mwenye kitambi na ambae umri wake umesogea kama hawa jamaa wetu ni wepes mno kuliko watu wasio na vitambi na wenye mazoezi?umeanza vizuri lakini umemaliza kienyeji sana Kwa mtazamo wako binafsi tu tena dhaifu ambao Haujazingatia data za kitaalam kama ulizotoa huko juu
Hilo kweli linasikitisha maumbo yamekuwa madogo sana enzi zile anakuja askari unapigwa tanganyika jeki (tanganyika jack )unatembelea vidole jamaa walikuwa mapande ya watu akikwambia ongoza kituoni unaenda .Sasa hawa inabidi tu atumie diplomasia kuwa mzee eti eti nimetumwa eti eti Ocs anakuhitaji pale kituoni huku kaweka mikono kichwani.Halafu kuna hili la askari polisi hao wapya wanaorandaranda mitaani na kuongoza magari, mbona wana miili kidogo sana maumbo yao ni madogo mno , sidhani kama wataweza kumdhibiti mtu mwenye kilo tisini wale, sijui kwa nini wale maaskari polisi wa miaka ile ya themanini na mwanzoni mwa tisini kama watakuwepo tena, hawa wa sasa niliwaona huko TZ, mpaka wanangu wakawa wanawashangaa eti ndio askari wetu mbona wadogo hivyo.
Majibu mazuri sana lakini je muonekano wa wale walinzi wanaomzunguka rais wa vitambi na wanaonekana umri wao umesogea kias unaweza kukidhi makabiliano ya Ana Kwa Ana inapotokea ringi ya kwanza na ya pili zimepenywa?au kwasababu ya mazoea ya amani na utulivu nchini suala la body fitness ya hawa walinzi wanaomzunguka rais halizingatiwi sana?Kwa muonekano wao unahisi wanaweza makabiliano ya kimapigano ya mwili Kwa uharaka unaohitajika kabla ringi ya pili na tatu hawajaingilia kati na kutoa fursa Kwa ringi ya kwanza kuondoka na rais?acheni ujuaji kwenye ulinzi wa mkuu wa nchi,
mleta mada elewa kuwa ulinzi wowote hasa wa mtu mhimu kama rais uko katika ringi 'ring' kuu tatu mhimu hasa kulingana na mazingira aliyopo mlindwa(esp.rais)
1.Ringi ya tatu.
hii ni ringi ya nje ambayo ndio nguzo mhimu kabisa kwenye ringi zote zilizobaki, ringi hii inajumuisha nguvu kazi ya wanausalama hasa wa intelijensia ambao kazi yao kuu ni kunasa au kupeleleza usalama wa mazingira yaliyo karibu na rais na kutuma taarifa kwenye ringi ya kwanza na ya pili kupitia redio maalum za kiusalama ( huonekana wazi kwenye sikio mojawapo kwa walinzi kama earphone hivi) katika hali tulivu ringi hii haijumuishi silaha nzito bali ni nyepesi kama bastola n.k ila ktk hali isiyo salama huhusisha silaha nzito za kujihami aghalabu submachines kama UZI, AKs (fupi sana) n.k
2.Ringi ya pili
hii ni co-ordination ring kati ya ringi ya tatu na ya kwanza, ringi hii huundwa na kikosi cha kujihami na kushambulia chenye nguvu kazi ya maafisa wachache wenye uwezo wa juu kimapambano ( ELITE PERSONNELS), kazi kubwa ya ringi hii ni kupokea taarifa kutoka C yaani ringi ya 3 na kuzifanyia kazi iwapo inahitajika, mfano mhalifu anaweza kuhisiwa na ringi ya 3 na hivyo ringi ya 2 hujulishwa ili kuchunguza au kureact directly kwa adui, mfano adui anapohisiwa mkutanoni ambapo rais anahutubia nguvu kazi kutoka ringi ya pili humsogelea adui na kukaa naye karibu( kwenye kundi la watu) ili kuweka urahisi wa ku intercept mashambulizi kutoka kwa huyu adui, hii huundwa na nguvu kazi yenye uwezo mkubwa katika medani za kivita na intelijensia mf commandos.
1.Ringi ya kwanza,
Ringi hii ndio iliyozoeleka kuonekana machoni pa wengi, ni ringi inayojumuisha wanaoitwa 'VIP BODYGUARDS' ringi hii humjumuisha mpambe wa rais yaani ADC na nguvu kazi ya wabobezi wa close combat ambao ni commandos, kazi yao kubwa kudhibiti any physical contact kwa rais, wako alerted sana na hupokea miongozo toka kwa wanausalama toka ringi ya 2, na 3, kupitia redio,
Pia iwapo kutatokea fujo au jaribio kumdhuru kiongozi ringi hii hufanya kazi ya uokoaji ( rescue unit) na kumuondosha rais eneo hilo huku wakijbu mapigo na kuondoka nae huku wakiiacha ringi ya pili ikiendelea kudhibiti tishio kwa mapigano ya silaha, endapo mapigano hayo yatakuwa magumu ringi ya pili huhitaji msaada kutoka vyombo vingine vya usalama kama polisi na jeshi.
ikumbukwe kuwa ringi hii ya kwanza pia hubeba silaha ndogo(portable) zenye ufanisi zaidi.
ULINZI WA RAIS SI SUALA JEPESI WALA NADHARIA ZA KISIASA, NI UTENDAJI HALISI
Nb; RINGI HIZI NI KULINGANA NA HALI, SIFA, YA ENEO HUSIKA INAWEZA IKAZIDI HAPO
THAKS, HAVE IT THOUGH SOME OF IT!
Kwa ufupi tu nikujibu kuwa hao unaohisi si lolote kwa mionekano ya vitambi ni maasikarijeshi idara intelijensia na ulinzi, wana uwezo mkubwa na viwango vyao vinakidhi kumlinda rais in any cost, wako fit kuanzia hand to hand na matumizi ya silaha za moto, haingii akilini kama taifa letu licha ya kuwa na maasikari ( makomandoo) walioiva wawekwe watu wasiojiweza kumlinda mkuu wa nchi, hao ni moto wa kuotea mbali,Majibu mazuri sana lakini je muonekano wa wale walinzi wanaomzunguka rais wa vitambi na wanaonekana umri wao umesogea kias unaweza kukidhi makabiliano ya Ana Kwa Ana inapotokea ringi ya kwanza na ya pili zimepenywa?au kwasababu ya mazoea ya amani na utulivu nchini suala la body fitness ya hawa walinzi wanaomzunguka rais halizingatiwi sana?Kwa muonekano wao unahisi wanaweza makabiliano ya kimapigano ya mwili Kwa uharaka unaohitajika kabla ringi ya pili na tatu hawajaingilia kati na kutoa fursa Kwa ringi ya kwanza kuondoka na rais?
1 Elimu ya kidini
2 Elimu ya kidunia hii ndio tunafundishwa mashuleni
3 Elimu ya utambuzi elimu hii wanafundishwa watu wachache ambao wanakuwa trained kwa ajili ya kudeal na watu wenye elimu hzo mbili yani ya dini na kidunia
Yeah nikweli mkuu lakini hapa watu wengine ukiwaambia ivo wanaona kama vile askari ni wachache au ilo eneo ndo linalindwa na wanaoonekana tu kumbe wengine wako pembeni kabisa ila wao wanatambuanaView attachment 465702
UKIONDOA RAIS KABILA, MAGUFULI NA MAMA SAMIA SULUHU, WENGINE WOTE NI WALINZI, PIA UKICHUNGUZA VIZURI HUYO KUSHOTO NYUMA YA RAIS MAGUFULI YUKO EQUIPPED KWA SILAHA ZA MOTO.
Maneno haya sio sawa na yale ya kusifia jeshi letu ni kiboko Africa wakati mara ya mwisho kupigana vita ilikuwa ni dhidi ya Iddi Amin, ambayo pasipo msaada wa wananchi wa Uganda ambao hawakuwa wanaridhika na utawala wake, pengine tungechezea kichapo.Wapo vzur sana aiseee weweeeee acha kabsa walinzi wetu ni kiboko,
Thibitisha kua sio imara?Maneno haya sio sawa na yale ya kusifia jeshi letu ni kiboko Africa wakati mara ya mwisho kupigana vita ilikuwa ni dhidi ya Iddi Amin, ambayo pasipo msaada wa wananchi wa Uganda ambao hawakuwa wanaridhika na utawala wake, pengine tungechezea kichapo.
40% ya watoto wanakabiliwa na utapiamlo kimo kitatoka wapi?Halafu kuna hili la askari polisi hao wapya wanaorandaranda mitaani na kuongoza magari, mbona wana miili kidogo sana maumbo yao ni madogo mno , sidhani kama wataweza kumdhibiti mtu mwenye kilo tisini wale, sijui kwa nini wale maaskari polisi wa miaka ile ya themanini na mwanzoni mwa tisini kama watakuwepo tena, hawa wa sasa niliwaona huko TZ, mpaka wanangu wakawa wanawashangaa eti ndio askari wetu mbona wadogo hivyo.
Sio kitambi kwanza hapendezi mtu mwenye tumbo kubwa kumlinda Muheshimiwa ambaye yeye hana KitambiWewe fuatilia wapiga somersault kama wote ni vimbaombao, mazoez hayaonekani kwa mwil
Me nilidhani utamshauri amzabe kibao au ampige singi? Hapo itakuwa ni kipimo sahihi.Akifaulu inamaana hao jamaa ni maboya, kwani italeta picha kuwa hata kisu anaweza kuchomwa wakiwepo.Hii simple sana kupruvu kama wako fiti ama matumbo tu. Vizia rais akiwa sehemu halafu fanya uwezelo umtemee mate kishe uje uhitimishe mjadala wa uzi wako kwa kuweka hitimisho sahihi.
Kwa ufupi tu nikujibu kuwa hao unaohisi si lolote kwa mionekano ya vitambi...