COMOTANG
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 2,131
- 1,821
๐๐๐๐๐Unataka wafumbe ili ufanye nini afu we umewaonaje wakati watu wote tumefumba macho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐๐Unataka wafumbe ili ufanye nini afu we umewaonaje wakati watu wote tumefumba macho.
Unataka wafumbe macho halafu wewe ufanye nini?Ukiangalia maeneo mengi walipo viongozi hata kwenye nyumba za ibada huwa awafungi macho na baadhi hawafuatilii hata misa japo wapo nyumba ya ibada, Je, desturi hii inatokana na maelekezo ya kazi yao au ni utamaduni wa mtu mmojammoja?