Walinzi wa viongozi kutofumba macho wakati wakusali ni lazima kwa mujibu wa kazi yao au hiari yao?

Walinzi wa viongozi kutofumba macho wakati wakusali ni lazima kwa mujibu wa kazi yao au hiari yao?

Kwani kufumba macho ni lazima? Kwanza kwa nini watu wafumbe macho?
 
Kuomba sio lazima ufumbe macho, ni vile tumezoea lkn hatufungwi na hilo.
 
Tutafika kweli tunako kwenda...? kama na haya ni mambo ya kujadili daaah.... Tanzania my country [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji115]
 
Ukiangalia maeneo mengi walipo viongozi hata kwenye nyumba za ibada huwa awafungi macho na baadhi hawafuatilii hata misa japo wapo nyumba ya ibada, Je, desturi hii inatokana na maelekezo ya kazi yao au ni utamaduni wa mtu mmojammoja?
Unataka wafumbe macho halafu wewe ufanye nini?
 
Back
Top Bottom