Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia weweHuenda anafanya kwa Lengo zuri. Huenda anataka kukisaidia chama lakini Lazma ajue kujizuia. Kuwa maarufu kuliko Rais ni kama uhaini kisiasa.
Walio karibu na Makonda wamwambie hatakiwi kuwa Maarufu kuliko Rais. Kisiasa huo ni kama uhaini
Ama ajizuie au atazuiwa soon. Au....
Alitaka awe hivyo makamu mwanzo.
Huo ndio siasa za dunia zilivyo. Dunia nzima hutakiwi kuwa maarufu kuliko kiongozi wa Juu hata kwenye eneo lako. Hata ukiwa mbunge hutakiwi kusikilizwa au kuwa na ushawishi kuliko Rais wa chama chako kwenye eneo lako.
Aliruhusu Rais wa Zaire mwaka 1960 Lumumba ndio akasikilizwa. Obote aliruhusu Iddi Amin awe maarufu kuliko yeye.
Aliruhusu hilo Thabo Mbeki, kwa Jacob Zuma. Na alipotaka kushugulikia swala lake la rushwa wanachama wa ANC wakamshugulikia yeye na Zuma akampokonya urais.
Ilitokea kwa Lowasa na JK. Pia Nyerere na Sokoine au John Okelo na Karume.
Nawakumbusha tena mwambieni asiwe maarufu kuliko au kumkaribia Rais.
Sasa anaagiza, anahutubia, anasindikizwa. Kama anafanya kwa bahati mbaya sielewi kabisa. Hana washauri. Uingereza Mfalme alichagua hadi uongozi wa kanisa.
Labda kama ana plan B. Lakini kama anataka kuwa chini ya mama basi Ajue tu Asiwe maarufu kuliko Rais.
Mambo shwariiiiHongera CCM mikakati inakwenda vizuri sana, na kuhusu kanda ya Ziwa dawa imekwisha patikana, tunaweza kulala kwa kukoroma, mkakati umefaulu.
Ufafanuzi muruaMwenye nchi ashamaliza kuwa maarufu ndani sasa zamu ya nje wamjue, muache kijana awafunge midomo wajuaji au watesi wa mpendwa wake hayati JPM. Nyuma ya pazia hakuna angeweza kunyanyua midomo kama afanyavyo mwenezi na vile usingizi uliwajaa CCM wengi wao wakiwa wanavizia kudandia makundi sasa vuruga vuruga wa mipango kapewa kazi Chini ya kapeti.
Uwanja ungekuwa msafi ilikuwa mwenezi ni Mwendo wa kutupa madongo Kwa wapinzani sasa ground iko rough mno hakuna budi kuisawazisha ili akianza kutupa mawe Kwa jirani awe na pa kuzungumzia na kwake alivyopaosha, huu ni mkakati wa uongozi wa juu haswa mwenyekiti Kwa maslahi mapana ya kujiwekea mizizi Kwa kuwafyekelea mbali watakaothubutu kumpinga mwenezi na vile wajuba washasoma mchezo Mwendo wa tumesikia na tunatii hadi kieleweke kwenye game mfano mzuri alianza na PM ikawa ni king'ora murua.
Thumbs upSamia alianza kwa upole, kwa kuwaacha huru, lakini kizazi hiki kilivyo cha hovyo kutokujielewa wamemuona samia hajitambui, wakanza kumtukana nk.nk.
Sasa kaona alipokosea na kama angebadilika na kuanza kuwapelekesha mngemshangaa.
Hivyo ameona yeye kama mama ameona sio vuzuri kugombana na watoto wake.hivyo kaamua kuwaletea kijana wake mtukutu awakumbushe kua uwezo wa kufikiri anao na vijana wa kumulinda anao.
Hii iwe ndani ya chama, au kwenye serikali.
Tena ni Aloe Vera bomba sanaMimi nadhani Makonda anachofanya ni kumrejeshea umaarufu Rais na Mwenyekiti wake.Wengine walikuwa hawamsaidii na wapinzani walianza kupanda chati kwa kuwa hoja,tuhuma,uongo dharau, matusi yalipita bila majibu na yakaaminika na wengi. Kisiasa ni mbaya. Makonda ni mwarobaini
Kama ni makusudi basi Mama hagombei 2025.Unafikiri ni kwa Bahati mbaya!!?
Watu hamjui siasa kwa ustawi wa taifa na protokali huwezi kuagizaUmaarufu uwe wa kweli na sio kusanifu, ni umaarufu wa chama na sio mtu. Mwisho umaarufu unaenda kwa mwenye kiti. Kuna kosa gani?
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Mikutano anayofanya, Wafuasi anaotengeneza na Aina ya siasa anayoifanya naona kama kuna mpango mbadala. Sababu haongei, hasemi na hafanyi kama aliyemtuma.Makonda ni maarufu? Tuanzie hapo, maarufu ni mtu mmoja tu nchi hii, na mtu huyo ni Rais wa JMT ambaye kwa sasa ni Mh. Dr. Samia Suluhu Hassan.
“Never outshine the Master/Boss” this is the greatest law of Power
Upeo finyu sana wa kufikiri.Tulia wewe
Lengo la Makonda ni kuwafanya wapinzani waache kujadili mambo ya maana
Na wamjadili yeye tu
Hizo ni hofu zenu nyieUpeo finyu sana wa kufikiri.
Watu wakianza kumsikiliza yeye na kumuelewa yeye kuliko ata mama maana yake watataka agombee uraisi.
Amekuwa na mamlaka ya kuagiza na hata kuhoji mawaziri hadharani. Hii sio siasa. Tunamkumbuusha tena Sokoine aliogopwa kila alipopita kuliko ata nyerere. Aliagiza, kamata na kushugulika na kila aina ya uovu.
Na alipoondoka hakuna waziri mkuu tena aliyekuja kuwa na umaarufu zaidi ya Rowasa na Mrema waziri. Na wote sasa umaarufu uliwaponza
Wazungu wanasema, "never outshine your master".Huenda anafanya kwa Lengo zuri. Huenda anataka kukisaidia chama lakini Lazma ajue kujizuia. Kuwa maarufu kuliko Rais ni kama uhaini kisiasa.
Walio karibu na Makonda wamwambie hatakiwi kuwa Maarufu kuliko Rais. Kisiasa huo ni kama uhaini
Ama ajizuie au atazuiwa soon. Au....
Alitaka awe hivyo makamu mwanzo.
Huo ndio siasa za dunia zilivyo. Dunia nzima hutakiwi kuwa maarufu kuliko kiongozi wa Juu hata kwenye eneo lako. Hata ukiwa mbunge hutakiwi kusikilizwa au kuwa na ushawishi kuliko Rais wa chama chako kwenye eneo lako.
Aliruhusu Rais wa Zaire mwaka 1960 Lumumba ndio akasikilizwa. Obote aliruhusu Iddi Amin awe maarufu kuliko yeye.
Aliruhusu hilo Thabo Mbeki, kwa Jacob Zuma. Na alipotaka kushugulikia swala lake la rushwa wanachama wa ANC wakamshugulikia yeye na Zuma akampokonya urais.
Ilitokea kwa Lowasa na JK. Pia Nyerere na Sokoine au John Okelo na Karume.
Nawakumbusha tena mwambieni asiwe maarufu kuliko au kumkaribia Rais.
Sasa anaagiza, anahutubia, anasindikizwa. Kama anafanya kwa bahati mbaya sielewi kabisa. Hana washauri. Uingereza Mfalme alichagua hadi uongozi wa kanisa.
Labda kama ana plan B. Lakini kama anataka kuwa chini ya mama basi Ajue tu Asiwe maarufu kuliko Rais.
Kumsaidia raisi ni kufafanua hoja za bandari, kufafanua mambo Ambayo Raisi kafanya kama kujenga madarasa, Miradi inayoendelea kutekelezwa na serikali. Kuwaponda wapinzani na kutoa kasoro zao. Kufafanua uzuri wa kikokotoo cha wastafu kwa taifa.. Faida za Hamkosi na Maslahi ya watu wanayoshugulikiwa na serikali ila kamwe. Narudia kamweMimi nadhani Makonda anachofanya ni kumrejeshea umaarufu Rais na Mwenyekiti wake.Wengine walikuwa hawamsaidii na wapinzani walianza kupanda chati kwa kuwa hoja,tuhuma,uongo dharau, matusi yalipita bila majibu na yakaaminika na wengi. Kisiasa ni mbaya. Makonda ni mwarobaini
Sio Africa tu bali dunia nzima. Yesu alipozaliwa tu. Nyota yake ilipoonekana tu HERODE alimsaka amuue na wazazi wakamtoreshea Misri. Kwanini? Unakuwaje maarufu kuliko mfalme sasa.Hii kauli ya Usimpite BOSS wako, ni kauli ya kupumbavu, kifedhuli, ujingaa wa WAAFRIKA.
Watu kama sisi aina ya Makonda, Huwa tunachukiwa na wazembe, wavivu, wajinga wenye chuki.
Watu wakubali ya kwamba, Kuna watu Mungu anawapa Kibali machoni mwa watu, hiyo ni Karama .
Makonda alinyimwa Akili ya Darasan, ila alipewa KARAMA YA KIUONGOZI.
Sasa ukweli ni upi kwa sababu wapo wanadai Kambona aliondoka nchini kwa kutokukubaliana na sera ya ujamaa na kujitegemea - yaani baada ya kutangazwa Azimio la Arusha mwaka 1967. Mgomo wa wanajeshi uliotokea 1964 au vipi.Sijui humu kuna watu wanaelimu gani. Oska Kambona alikosana na Nyerere kwasababu ya kuwa maarufu Kwenye baadhi ya taasisi hasa jeshini kuliko nyerere. Jeshi limegoma yeye ndio kaenda kulituliza.
Haiwezekani Jeshi likusikilize wewe likatae kumsikiliza rai kama ni hivyo wewe ni raisi basi. Alikiona cha mtema kuni.
Makonda afanye yote asiwe maarufu kuliko mama.