Walio karibu na Makonda wamwambie ni kosa kubwa kuwa maarufu kuliko Rais. Aache kabisa harakati

MBOWE akaruhusu LISSU kuwa maarufu saivi panafukuta jotro Chadema na panafuka Moshi......

Ila kasri la Mbowe kijijini kwao ni amezingi sana,
Piiiiiipooooooozzziii.....
Hata na hivyo No fear No hate
Mbowe hilo kosa alilifanya hata kwa Dr Slaa na Zitto walikuwa maarufu kuliko yeye. Nakumbuka mwaka 2011 baada ya uchaguzi mdogo wa Igunga Mbowe alisema tunakubaliana na matokeo Slaa kwenye platform tofauti akasema hatujaridhishwa kuna mwana chadema mmoja aliniambia yeye anaenda na la Slaa sio la Mbowe.
 
Makonda hana umaarufu wowote,sana sana anakuzwa na media za hovyo hovyo.
 
Mama anayataka mwenyewe..

Anakesha Angani.
 
Makonda hana umaarufu wowote,sana sana anakuzwa na media za hovyo hovyo.
ndio popularity iyo. Ukiweza kuvutia medias na general public at the same time wewe ni maarufu
 
Breaking

Makonda
avuka na mtumbwi jangwani akielekea Lumumba
 
Ngoja tuuone huenda wale wanaratibu sayansi za siasa zetu za kiafrika watatuambia nini Sasa Makonda anatakiwa afanye
Lkn naona hoja hii Ina mashiko ndani yake
 
Umeongea vyema sana kiongozi, siyo kwenye siasa tu hata kwenye hizi KAZI za kawaida hasa za serikali, ukiwa mtumishi wa chini alafu ukawa maarufu kuliko boss wako basi lazima ajilinde Kwa kukubana.
 
Tabia ni hurka kusifia na kupamba Kila mmoja ugari wake ndio tz yetu . Atujafikia Kila mmoja kuonekana msaada wake ni elimu na maisha yake ni uhandisi sio msaada boss wake na maisha yake sio ajira . Bado tupo Dunia ya tatu
 
Itategemea kama unashindana na rais mwenyewe. Huyo rais ndio kamtuma makonda amtengenezee njia ya 2025..anajua fika bila kuwa na bulldozer mbele yake safari ni ngumu sana.

Kinachofanyika ni baraka zake mwenyewe na huko alipo sasa walau analala usingizi. Ingelikuwa tofauti na hivyo basi asingemtoa Mjema au Shaka. Wanaolalamikia hizi hekaheka wengi ni wale wasiopendezwa na Makonda..wale wanaoona madhaifu mengi ya watendaji wa serikali yatapunguzwa hivyo kuipa ccm umaarufu.

Kwa sasa watendaji wameanza kuingia site kabla Makonda hajafika. Next time samia atampa mafaili ya madudu ili akashughulike nao akiwa kwenye ziara.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Yaani uende geita au bunda umfafanulie mtu mambo ya bandari? Katika maoni na maswali ya wananchi umesikia wakitaja bandari.? Watu wana mahitaji yao kuliko bandari..wanajua bandari haiwezi kuwapa chakula cha bure wala matibabu bure.

Wasikilize watu uone jinsi wanacholalamikia..mambo ya bandari ni sisi huku mitandaoni..huko site watu wanataka maji, barabara, umeme, madawa, vituo vya afya, ardhi, haki, huduma,stendi na kuondolewa sheria kandamizi.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Umaarufu wake hata hivyo unachekesha sana na uko kwenye vitu vya kijinga mno.. Mama mwenyewe anafurahia maana kapumzishwa kidogo.. Ila huko mbeleni hatari ipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mie nashangaa kuona umaarufu wa kupanda punda au trekta uwe tishio?
Kwani nchi hii watu wote wamekuwa wajinga kama hao wafuasi wa ccm ambao kwao hayo matukio ni hoja na sio vioja?
Toka Makonda Kawa mwenezi ni hoja gani kaizungumza yenye faida kwa chama chake tuu achia mbali kwa nchi?
Hizo drama zinawasaidiaje vijana wasio ajira pamoja na vyeti yao?
Hivi vyombo vya habari vinavyo tumika kumbeba Bashite viandae MDAHALO WA KITAIFA utakao washirikisha Wenezi wa vyama vikuu kujadili mstakabali wa taifa hili na msaada wa vyama vyao ili muone huo uwezo wa Makonda uko wapi!
Bangladeshi!!
 
Hongera CCM mikakati inakwenda vizuri sana, na kuhusu kanda ya Ziwa dawa imekwisha patikana, tunaweza kulala kwa kukoroma, mkakati umefaulu.
Unajidanganya! Nimeliuliza hili kwa watu makini wawili watatu huko kanda ya ziwa na majibu ni kuwa drama hizo ni ile mihemko ya watu masikini kushangilia wakiona viongozi wakiumbuliwa hadharani kwa style hii ya Bashite, lakini kapita zake na mambo ni BACK TO SQUARE ONE.
 
Kila ndogo ina kubwa yake. Wala hizo sifa za kupanda punda etc na huo umaarufu ni wa Chama cha Mapinduzi, tunafurahi mnapata headlines za kuandika juu ya Chama Chetu na Dkt Samia, hizo ndiyo siasa tunazitaka.
 
Wivu tu, CCM ya Dkt Samia inawakimbiza, toroka uje haraka! CCM Oyeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…