Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
- Thread starter
-
- #21
Aliye kudanganya ninani mkuu 🤣 man u na Liverpool na Derby ya pili kwa ukubwa duniani ukiacha El -clasicoDerby ya Man u ni vs man city. Liver vs Everton. Liver vs man u ni big game not derby
Noma sanaHahaaa akina Ricardo Calvalho, Ivanovic, kulikuwa na akina Bolalhuz, JT, Paulo Perreira, Glen Johnson, kulikuwa na mjerumani mmoja hivi mrefu.
Kimsingi zamani ndio kulikuwa na mpira bro. Nakumbuka Chelsea Vs Barcelona game ya 2005. Pia kulipigwa game ya Chelsea VS Liverpool ngoma ikaisha 4 kwa 4. Huwa naikumbuka ile game na kuna muda huwa naiangalia YouTube.
NonsenseKama kawaida wazee kusifia enzi zenu sioni shida hata vijana wa Sasa wakijisifia mwaka 2050 yaani ukishaishiwa lazima usifie kwamba nilikuaga hivi mala vile yaani ukiona mtu anasifia enzi zake na hataki kuipa respect kizazi Cha mwenzie huyo hamna kitu ni muongo
Kawaida yenu wazee hiyo Wala sishangai kujiona mpo sawa kumbe hamna kitu kichwani akili zimeshazeeka na kujumlisha umasikini mlionao basi mnadataNonsense
NonsenseKawaida yenu wazee hiyo Wala sishangai kujiona mpo sawa kumbe hamna kitu kichwani akili zimeshazeeka na kujumlisha umasikini mlionao basi mnadata
NonsenseNonsense
Uzuri ni kwambaNyie vitoto vya 2000 mnajua nini kumhusu Franco Baresi, Roberto Baggio, Rashid Yekini, Cyril Makanaky, Emmanuel Kunde, Lothar Matthaus, Faustino Asprilla, Jorge Burruchaga, Sergio Batista, Sergio Goycochea….
Wazee Mimi nawaangaliaga tu kazi kusifia enzi zao kama walikua wanacheza na miguu minneUzuri ni kwamba
Hawa wachezaji wa zamani hata wao wanakubali kwamba mpira wa sasa una kasi na ushindani tofauti na kipindi chao
Enzi za mtu anatoka na mpira kuanzia kati ana chambua tu mpka golini sio sahvWazee Mimi nawaangaliaga tu kazi kusifia enzi zao kama walikua wanacheza na miguu minne
Hahaha wazee wa anakwenda anakwenda anakwenda yaani hawana formula wanakimbia kama miguruweEnzi za mtu anatoka na mpira kuanzia kati ana chambua tu mpka golini sio sahv
Nakamura alitufunga Man Utd mara mbili kwa mipira iliyokufa Van De Sar kasimama tuuMipira iliyo kufa
Juninho
Nakamura
Pirlo
Sasa hivi free kicks sijui hazipigwiNakamura alitufunga Man Utd mara mbili kwa mipira iliyokufa Van De Sar kasimama tuu
Hakuna tena mafundiSasa hivi free kicks sijui hazipigwi
Mipira ina paa tuu na kugonga watu vichwaHakuna tena mafundi
Naona Sasa hivi hamna magori ya free kick wewe itakua sio mtu wa mpira ni mzee umezeeka unajifariji zama zenu zishapita Sasa hivi ni zama za wengine mzee🤣🤣🤣Hakuna tena mafundi
Wejamaa Kama kinyesi Cha asubuhiNaona Sasa hivi hamna magori ya free kick wewe itakua sio mtu wa mpira ni mzee umezeeka unajifariji zama zenu zishapita Sasa hivi ni zama za wengine mzee🤣🤣🤣