Walioanza kufuatilia mpira 2020 wanakosa mengi

Nyie vitoto vya 2000 mnajua nini kumhusu Franco Baresi, Roberto Baggio, Rashid Yekini, Cyril Makanaky, Emmanuel Kunde, Lothar Matthaus, Faustino Asprilla, Jorge Burruchaga, Sergio Batista, Sergio Goycochea….
Bila kusahau baba lao loger Mila
 
Angia YouTube mkuu
 
Nyie vitoto vya 2000 mnajua nini kumhusu Franco Baresi, Roberto Baggio, Rashid Yekini, Cyril Makanaky, Emmanuel Kunde, Lothar Matthaus, Faustino Asprilla, Jorge Burruchaga, Sergio Batista, Sergio Goycochea….
Hahahahaha, umetisha

US walikua na beki anaitwa Alex Lalas
 
Na watakaokwambia ambao hamuwajui kina Lav Yashin (The Black Spider); Just Fontaine; Vava; Garrincha, Eusebio (The Black Panther); Bobby Moore; Teofilo n.k. utasemaje ?

Kila zama na vitabu vyake......
 
Balack huyo germany
 
Ukiachana na kwamba umenisoma vibaya
Tokea lini Scholes Ballack walikuwa na mbio 😄 bergkamp kwa mpira wake ule kwa sasa hivi hana namba labda Man U
 
Game ya man u na aseno, Nani anapiga mpira kwa dharau, golie wa aseno anadhani atauwahi akajaribu kutaka kuukimbiza, nilicheka sana hahahha
 
1. Jaap Stam
2. Roy Kean
3. Sosjer
4.Dwight Yorke
5. Andy Cole
6. Garry Neville
7. Mark Viduka
8. Patrik Viera
9. Steven Gerrard
10. Ashley Cole
 
Mfaransa rafiki ajen roben, nimemsahau jina
 
😀😀😀
 
Hata hapo Kwa hao wachezaji uliowataja mpira ndo ulikuwa unaelekea kubaya .....Kuna zile zama hapo nyuma alikuwa akicheza Marcelly desaii,akina Frank Rebouf,Celestine Babayaro kipindi hicho kwenye soka kulikuwa na cheo Cha kocha mchezaji na sio Sasa Cha kuwa na meneja ........ila umenikumbusha mbali sana
 
Mipira iliyo kufa
Juninho
Nakamura
Pirlo
Mwamba Juninho Pernambucano alikuwa bingwa mno ila Kwa kizazi hiki hakumbukwi Wala kutajwa,sikumbuki kama aliwahi kuichezea timu yake ya taifa....maana kipindi hicho Brazil ilikuwa ya moto sana
 
Mwamba Juninho Pernambucano alikuwa bingwa mno ila Kwa kizazi hiki hakumbukwi Wala kutajwa,sikumbuki kama aliwahi kuichezea timu yake ya taifa....maana kipindi hicho Brazil ilikuwa ya moto sana
Ni sports director wa Lyon klabu yake ya zamani
 
Nyie vitoto vya 2000 mnajua nini kumhusu Franco Baresi, Roberto Baggio, Rashid Yekini, Cyril Makanaky, Emmanuel Kunde, Lothar Matthaus, Faustino Asprilla, Jorge Burruchaga, Sergio Batista, Sergio Goycochea….
Umenitajia faustineAsprilla nimeikumbuka Newcastle ya miaka hiyo haikuwa underdog as wali yo kipindi hiki .....mwamba kutoka colombia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…