Walioanza kufuatilia mpira 2020 wanakosa mengi

Hao wote uliowataja kwa miaka ile ya 2000s-2010 walikuwa ni wa kuchezea timu kama Everton,Swansea,Leeds United
Kulikuwa na watu bro. Euro 2004 Nilikuwa team Ureno chini ya Luis Figo, Nuno Valentine, Maniche, Deco au maarufu Decorator.

Kulikuwa na kizazi katili cha kiaergentina kikiongozwa na Herman Crespo, Cambiasso, Sebastian Veron na wadau wengine.

Kulikuwa na Werder Bremen ilikuwa kwenye moto bila kusahau deportivo de la curunha.

Kulikuwa na timu ya PSV Endnhoven ikiwa na wale mapacha akina Cocu, Van Der Vaart, Van Bronchorts akaendaga Barcelona, Evra na Ji Park wakahamia Man U.

Kulikuwa na Monaco ambao walikuwa 🔥 na ile Barcelona ya Rijkaard nayo ilikuwa 🔥
 
Peter Cech siyo Peter Check.
 
Mwamba Juninho Pernambucano alikuwa bingwa mno ila Kwa kizazi hiki hakumbukwi Wala kutajwa,sikumbuki kama aliwahi kuichezea timu yake ya taifa....maana kipindi hicho Brazil ilikuwa ya moto sana
Alikuwa role model wangu kwenye dead ball's pale uwanja wa shujaa Morogoro Mjini. Jamaa walikuwa wakiweka ukuta hata hatua tatu toka nilipo, nilikuwa navusha ukuta. Tumetoka mbali sana.

Jamaa alikuwa anaweza. Yule ndio dead ball specialist. Alicheza timu ya taifa ya brqzil mkuu.
 
Hiyo game pale OT R9 alipigwa red na Man walishinda sikumbuki kwa goli ngapi ila aggregate iliwatoa nje kwani game ya kwanza pale Spain Mashetani walipigwa 3 bila majibu.
 
Mwamba Juninho Pernambucano alikuwa bingwa mno ila Kwa kizazi hiki hakumbukwi Wala kutajwa,sikumbuki kama aliwahi kuichezea timu yake ya taifa....maana kipindi hicho Brazil ilikuwa ya moto sana
Alikuwa role model wangu kwenye dead ball's pale uwanja wa shujaa Morogoro Mjini. Jamaa walikuwa wakiweka ukuta hata hatua tatu toka nilipo, nilikiwa navusha ukuya
Game iliisha hivi Mnafiki Wa Kujitegemea
 
Hernan Crespo kwa mbaali alitaka kufanana na Milan Baros.
 
Kweli Kila zama na kipindi chake, mtu akikwambia Kuna mtu alikuwa akiitwa Marco "Marcel" Van Basten ukimuwekea tu au ukimkuta au ukimuacha aguse mpira karibu na boksi jua ni goli. mashuti anapiga, vichwa kama kawaida, volley ndiyo usiseme, ballon d'or Tatu lakini Bado alistaafu akiwa na 28 hivi.

Ukizidi kurudi nyuma Kuna kizazi kingine Bora tena, kizazi cha football Fulani hutegemea na nani alikiona.
 
Milan Baros mwamba kutoka Chezc republic,baada ya fainali ya uefa waliyokutana na Monaco na Porto nahisi ndo akahamia Liverpool
Huyo ni Mgiriki na mashindano ya EURO yaliyofanyikia Ugiriki 2004 nadhani ndiye aliibuka mfungaji bora huku UGIRIIKI ikiwapiga nadhani URENO final na kubeba kombe.
 
Nimemtafuta sana Mwanangu Roberto Carlos sioni akitajwa kabisaa😥😥
 
Ni kweli mpira zamani ulikuepo na ushindani , kila zama na watu wake ndivyo ilivyo.

kuna wachezaji wapo wana uwezo mkubwa tu wameonyesha sasa kuzidi hata hao wa zamani
mohamed salah ni bora kuzidi beckham& milan baros.
Hary kane bado atakuwa bora kuzidi forward wengi tu waliopita pale england (ruud van nistelroy, baros, van persie na wengine wengi tu)
Huwezi kuniambia kolo toure ni bora kuliko virgil 😂
Japo kuna nafasi kama za kina ashley cole huwezi kumlinganisha na mchezaji yoyote yule mpaka leo.

ALL IN ALL ZAMANI NI KWELI MPIRA ULIPIGWA HASWA .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…