Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,559
Wapambane kivyao kwani wakati wanakula bakora waliomba msaada wa sheria
Wakiwemo waliovunjiwa kimaraSerikali ijayo itapata tabu sana kulipa fidia ya wahanga wa utawala huu wa mkoloni mweusi
Wewe ndiye DC mchapa watu? mbona unatoa povu? Udc tu unachapa bakora wenzio, ukipata kile cheo si utawapiga risasi!!!who are you by the way??
Kwahiyo baada ya jana kukiri wamepita kwako wakakuambia kuwa wanaenda kushtaki?? Hizo akili mnazitoa wapi kwa mfano?? Inamaana hapo ufipa mmekuwa Duni kiasi hiki??
Hakika huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu,huyu mkuu wa wilaya kwa kuwa alikuwa anataka sifa kwa magufuli basi hana budi kufunguliwa mashtakaNi miaka karibia mitano Sasa viongozi wamekuwa wakijichukulia sheria mikononi na hakuna kiongozi wa kisiasa wa juu anayekemea Jambo linaloashiria wahusika wanatekeleza msimamo wa serikali.
Waanga wa tukio la Arusha wamelazimishwa kupigwa na kisha kulipishwa fedha zaidi ya milioni tano ambazo taarifa zinadai wamelazimishwa kuuza baadhi ya Mali zao pamoja na ndugu kuwachangia kutokana na vitisho na shinikizo lililotolewa na uongozi wa wilaya dhidi yao.
Uongozi huo ulienda mbali zaidi nakushikiza kuwafungulia kesi zisizo na dhamana ikiwemo uhujumu uchumi wakiambiwa wamehujumu Mali ya umma na wasipotii nakulipa watawekwa ndani bila dhamana kwa kipindi kisichojulikana. Baada ya vitisho hivyo ambavyo hata vyombo vya habari vimehoji nakujiridhisha kuwepo kwa uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu hakuna chombo kiliripoti ukubwa wa kadhia hii badala yake vyombo vyote vya habari vimesimama na DC na kumfanya DC aonekane kuwa yupo sahihi.
Rai inayotolewa na familia za wahanga nikupata uwakilishi wa kisheria waweze kwenda mahakamani kuomba tafsiri ya kisheria ya kile ambacho wametendewa ikiwa Ni pamoja na kuangalia njia yakupata fidia kwa madhara waliyopata.
Ikumbukwe hata watumwa baada Uhuru kwenye baadhi ya Mataifa walikuja kufungua kesi na mahakama za Dunia wakatoa maamuzi lengo likiwa nikuheshimu utu na haki za binadamu.
Kwa upande wa pili, mkuu wa wilaya kutamka adharani kuwa mchakato wa kisheria dhidi ya watuhumiwa ni kupoteza muda inaleta tafsiri kwamba serikali haiamini Kama muhimili wa mahakama una heshima yake. Kitendo Cha mahakama wakati wote kudharaulika wakakaa kimya nacho kinatia ukakasi.
Niwaombe watu wa haki za binadamu waache kukaa ofisini na kutuletea taarifa za uvunjifu wa haki za binadamu waingie kwenye vyombo vya kisheria nakuwatetea wanaoumia, atutaki takwimu za uvunjifu wa haki tunataka kusikia wamefungua kesi ngapi kutetea wananchi wanaoumizwa na ngapi wameshinda, fidia kiasi gani nk
Mmmh keshaanza kujipanga namna ya kumweka 'mtu' wake anaefanana nae.Serikali ijayo itapata tabu sana kulipa fidia ya wahanga wa utawala huu wa mkoloni mweusi
Madhambi kama haya na mengine mengi yafanywayo na serikali ndio sababu juu ya kuvuruga chaguzi ili wabaki madarakani, wakihofu kwenda jela.Utawala mwengine ukichukua nchi kabla ya kutekeleza hukumu ya kifo wawachukue genge lote hili na kuwapeleka maabara kupima bongo zao kama tafiti na kujiridhisha ili kuchukua tahadhari watu kama hawa wasishike tena nyadhifa za juu serekalini huko baadaye
Kangaroo CourtHakika huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu,huyu mkuu wa wilaya kwa kuwa alikuwa anataka sifa kwa magufuli basi hana budi kufunguliwa mashtaka
Hata we ukionewa vitisho walivyo kumbana navyo, utakiri. Maamuzi nje ya mahakama hayana tija.Acha kutuona wapumbavu wewe mwehu,Jana nimewasikiliza wahusika wote ,wamekiri makosa yao na kutoa faini ya tsh 5000K,halafu unakuja na stori za kwenye kahawa huku..nyambafu kabsa[emoji35][emoji35][emoji43][emoji43][emoji43]
Zama zinajirudia...Ni miaka karibia mitano Sasa viongozi wamekuwa wakijichukulia sheria mikononi na hakuna kiongozi wa kisiasa wa juu anayekemea Jambo linaloashiria wahusika wanatekeleza msimamo wa serikali.
Waanga wa tukio la Arusha wamelazimishwa kupigwa na kisha kulipishwa fedha zaidi ya milioni tano ambazo taarifa zinadai wamelazimishwa kuuza baadhi ya Mali zao pamoja na ndugu kuwachangia kutokana na vitisho na shinikizo lililotolewa na uongozi wa wilaya dhidi yao.
Uongozi huo ulienda mbali zaidi nakushikiza kuwafungulia kesi zisizo na dhamana ikiwemo uhujumu uchumi wakiambiwa wamehujumu Mali ya umma na wasipotii nakulipa watawekwa ndani bila dhamana kwa kipindi kisichojulikana. Baada ya vitisho hivyo ambavyo hata vyombo vya habari vimehoji nakujiridhisha kuwepo kwa uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu hakuna chombo kiliripoti ukubwa wa kadhia hii badala yake vyombo vyote vya habari vimesimama na DC na kumfanya DC aonekane kuwa yupo sahihi.
Rai inayotolewa na familia za wahanga nikupata uwakilishi wa kisheria waweze kwenda mahakamani kuomba tafsiri ya kisheria ya kile ambacho wametendewa ikiwa Ni pamoja na kuangalia njia yakupata fidia kwa madhara waliyopata.
Ikumbukwe hata watumwa baada Uhuru kwenye baadhi ya Mataifa walikuja kufungua kesi na mahakama za Dunia wakatoa maamuzi lengo likiwa nikuheshimu utu na haki za binadamu.
Kwa upande wa pili, mkuu wa wilaya kutamka adharani kuwa mchakato wa kisheria dhidi ya watuhumiwa ni kupoteza muda inaleta tafsiri kwamba serikali haiamini Kama muhimili wa mahakama una heshima yake. Kitendo Cha mahakama wakati wote kudharaulika wakakaa kimya nacho kinatia ukakasi.
Niwaombe watu wa haki za binadamu waache kukaa ofisini na kutuletea taarifa za uvunjifu wa haki za binadamu waingie kwenye vyombo vya kisheria nakuwatetea wanaoumia, atutaki takwimu za uvunjifu wa haki tunataka kusikia wamefungua kesi ngapi kutetea wananchi wanaoumizwa na ngapi wameshinda, fidia kiasi gani nk
Unajua mwizi wa madawati anafanana na yule mwizi anayehujumu reli barabara wote hawa ni wahujumu uchumi wafunguliwe kesi ya uhujumu uchumi ambayo sheria ndio inastahili iwe hivyo.Acha kutuona wapumbavu wewe mwehu,Jana nimewasikiliza wahusika wote ,wamekiri makosa yao na kutoa faini ya tsh 5000K,halafu unakuja na stori za kwenye kahawa huku..nyambafu kabsa😡😡😵😵😵