Waliochapwa na DC Arusha na kulazimishwa kulipa fedha bila kufikishwa mahakamani waombe msaada wa kisheria kumshtaki DC

Ni miaka karibia mitano sasa viongozi wamekuwa wakijichukulia sheria mikononi na hakuna kiongozi wa kisiasa wa juu anayekemea Jambo linaloashiria wahusika wanatekeleza msimamo wa serikali.

Wahanga wa tukio la Arusha wamelazimishwa kupigwa na kisha kulipishwa fedha zaidi ya milioni tano ambazo taarifa zinadai wamelazimishwa kuuza baadhi ya Mali zao pamoja na ndugu kuwachangia kutokana na vitisho na shinikizo lililotolewa na uongozi wa wilaya dhidi yao.

Uongozi huo ulienda mbali zaidi nakushinikiza kuwafungulia kesi zisizo na dhamana ikiwemo uhujumu uchumi wakiambiwa wamehujumu Mali ya umma na wasipotii nakulipa watawekwa ndani bila dhamana kwa kipindi kisichojulikana. Baada ya vitisho hivyo ambavyo hata vyombo vya habari vimehoji nakujiridhisha kuwepo kwa uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu hakuna chombo kiliripoti ukubwa wa kadhia hii badala yake vyombo vyote vya habari vimesimama na DC na kumfanya DC aonekane kuwa yupo sahihi.

Rai inayotolewa na familia za wahanga nikupata uwakilishi wa kisheria waweze kwenda mahakamani kuomba tafsiri ya kisheria ya kile ambacho wametendewa ikiwa Ni pamoja na kuangalia njia yakupata fidia kwa madhara waliyopata.

Ikumbukwe hata watumwa baada Uhuru kwenye baadhi ya Mataifa walikuja kufungua kesi na mahakama za Dunia wakatoa maamuzi lengo likiwa nikuheshimu utu na haki za binadamu.

Kwa upande wa pili, mkuu wa wilaya kutamka adharani kuwa mchakato wa kisheria dhidi ya watuhumiwa ni kupoteza muda inaleta tafsiri kwamba serikali haiamini Kama muhimili wa mahakama una heshima yake. Kitendo Cha mahakama wakati wote kudharaulika wakakaa kimya nacho kinatia ukakasi.

Niwaombe watu wa haki za binadamu waache kukaa ofisini na kutuletea taarifa za uvunjifu wa haki za binadamu waingie kwenye vyombo vya kisheria nakuwatetea wanaoumia, atutaki takwimu za uvunjifu wa haki tunataka kusikia wamefungua kesi ngapi kutetea wananchi wanaoumizwa na ngapi wameshinda, fidia kiasi gani nk
Kwanza waliokubali kupigwa na huyo DC kinyume cha sheria ni wajinga. Wagefanya kama yule denti aliyemtwanga DED.
 
Ukifuatilia vzr, viongozi hawa wanaochapa viboko raia,kichwani Kuna tatizo.
 
Kumbuka wezi na waharibifu wa mali za umma wanafungwa miaka 30.
Sawa. Ni bora washitakiwe kuliko kuwatandika viboko!

Huo unaitwa "utawala wa sheria".

Siku nyingine atakuja mjinga kama huyo DC mwenye akili chache awaambie watu wachague kati ya kuwafira au kuwafunga miaka hamsini jela!

Utakuja hapa useme ni bora awafire!
 
Kikiri kosa haina maana wachapwe hadharani mbele ya camera , kuna watu wana kesi za mauaji hata kufinywa tu hawajawahi sembuse hilo

Kama unabariki upumbavu ilio fanywa na huyo mhehe mjinga asiye jielewa basi na wewe ni mpumbavu zaid yake.

Ndio maana kuna mahakama na vyombo vingine vya kushughulika na wahalifu vinginevyo polisi wangekuwa wanaua wahalifu wote wanao wakamata na kesi kama wangekuwa na akili mbovu kama za huyo DC
Unaelewa maana ya kumchapa mtu viboko ?? Muulize jirani yako mwenye taaluma 5a ualimu juu ta dhana halisi ya viboko,faida zake na hasara zake.Sio kutoa pumba za kupumbavu za huko UPE
 
Wao walikubali kupigwa kuliko kupelekwa mahakamani pia wamelipa pesa za kutengeneza madawati mapya kwa hiari yao. Nashangaa kwa nini inawauma sana nyinyi!!
Huyo DC wako hatambui kwamba nchi inaongozwa kwa sheria?

Kwamba anafika mahali anatandika watu viboko jinsi anavyojisikia tu?

Uliona wapi nchi ya kihuni namna hiyo?

Na angekutana na wahuni wangemfumua hicho kichwa! Self defense!
 
Unaelewa maana ya kumchapa mtu viboko ?? Muulize jirani yako mwenye taaluma 5a ualimu juu ta dhana halisi ya viboko,faida zake na hasara zake.Sio kutoa pumba za kupumbavu za huko UPE
Unazidi kuonesha upumbavu na ujinga mkubwa sana ulionao bora ukae kimya mwenye akili kichwani hawezi linganisha tukio la kuchwapwa viboko watu wazima mbele ya camera na waandishi wa habari na tukio la viboko kwa wanafunzi shuleni , wewe ni mjinga aisee hakuna namna yeyote ya kumsafisha huyo DC kilaza maana hata ongea yake tu ukimfuatilia anaonekana kabisa bado anaujinga mwingi na utoto kichwani mwake.
 
Wao walikubali kupigwa kuliko kupelekwa mahakamani pia wamelipa pesa za kutengeneza madawati mapya kwa hiari yao. Nashangaa kwa nini inawauma sana nyinyi!!
Si kweli hawakukubali bali walishurutishwa acha kupotosha.
 
Unazidi kuonesha upumbavu na ujinga mkubwa sana ulionao bora ukae kimya mwenye akili kichwani hawezi linganisha tukio la kuchwapwa viboko watu wazima mbele ya camera na waandishi wa habari na tukio la viboko kwa wanafunzi shuleni , wewe ni mjinga aisee hakuna namna yeyote ya kumsafisha huyo DC kilaza maana hata ongea yake tu ukimfuatilia anaonekana kabisa bado anaujinga mwingi na utoto kichwani mwake.
Yani we mke wangu kichwani ni mweupe sana kiasi kwamba nakosa namna ya kukusaidia. Any way endelea kushabikia ujinga,kutukana huku jf,hata kanisani usiende,toa pumba zako then hizo pumba za kijinga zitakuletea maendeleo.
Tumeelewana mke wangu??🤔
 
Watulie tu wasije kupewa kesi ya uhujumu uchumi.
 
Kuna wakati mhalifu akikiri kosa lake, hutafuta unafuu wa adhabu, kwa mfano mtu mwanaume aliyefumaniwa na mke wa mtu, akiambiwa alipe milioni moja palepale guest alipokutwa au apelekwe mahakamani kwa kesi ya kukamatwa ugoni, ataona bora yaishe palepale kuliko kuzalilika zaidi.

Jamaa wale walifahamishwa ukubwa wa kosa lao, wakaona kama kesi haina dhamana, wangesota sana mahabusu na pengine wangefungwa, kwakuwa ni kweli, bora wapokee adhabu nafuu ya viboko, walipe gharama, yaishe kuliko kwenda jela.

Kuhusu kuwarecord na kuwarusha mitandaoni, hii tunasema ili iwe fundisho kwa wengine, waache tabia za kuihujumu serikali.

Kwahyo kama kuna anaeona watu wale kukubali kutandikwa viboko ni uonevu, wajiulize wao wenyewe, ipi ingekuwa nafuu kwao, viboko na kulipa fidia, au kwenda mahabusu bila dhamana huku hujui ni lini utahukumiwa na unafamilia inakutegemea?
 
Ni miaka karibia mitano sasa viongozi wamekuwa wakijichukulia sheria mikononi na hakuna kiongozi wa kisiasa wa juu anayekemea Jambo linaloashiria wahusika wanatekeleza msimamo wa serikali.

Wahanga wa tukio la Arusha wamelazimishwa kupigwa na kisha kulipishwa fedha zaidi ya milioni tano ambazo taarifa zinadai wamelazimishwa kuuza baadhi ya Mali zao pamoja na ndugu kuwachangia kutokana na vitisho na shinikizo lililotolewa na uongozi wa wilaya dhidi yao.

Uongozi huo ulienda mbali zaidi nakushinikiza kuwafungulia kesi zisizo na dhamana ikiwemo uhujumu uchumi wakiambiwa wamehujumu Mali ya umma na wasipotii nakulipa watawekwa ndani bila dhamana kwa kipindi kisichojulikana. Baada ya vitisho hivyo ambavyo hata vyombo vya habari vimehoji nakujiridhisha kuwepo kwa uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu hakuna chombo kiliripoti ukubwa wa kadhia hii badala yake vyombo vyote vya habari vimesimama na DC na kumfanya DC aonekane kuwa yupo sahihi.

Rai inayotolewa na familia za wahanga nikupata uwakilishi wa kisheria waweze kwenda mahakamani kuomba tafsiri ya kisheria ya kile ambacho wametendewa ikiwa Ni pamoja na kuangalia njia yakupata fidia kwa madhara waliyopata.

Ikumbukwe hata watumwa baada Uhuru kwenye baadhi ya Mataifa walikuja kufungua kesi na mahakama za Dunia wakatoa maamuzi lengo likiwa nikuheshimu utu na haki za binadamu.

Kwa upande wa pili, mkuu wa wilaya kutamka adharani kuwa mchakato wa kisheria dhidi ya watuhumiwa ni kupoteza muda inaleta tafsiri kwamba serikali haiamini Kama muhimili wa mahakama una heshima yake. Kitendo Cha mahakama wakati wote kudharaulika wakakaa kimya nacho kinatia ukakasi.

Niwaombe watu wa haki za binadamu waache kukaa ofisini na kutuletea taarifa za uvunjifu wa haki za binadamu waingie kwenye vyombo vya kisheria nakuwatetea wanaoumia, atutaki takwimu za uvunjifu wa haki tunataka kusikia wamefungua kesi ngapi kutetea wananchi wanaoumizwa na ngapi wameshinda, fidia kiasi gani nk
Kwa nchi hii waambie wasijisumbue cha msing wamfuatilie uyo DC anaish walale nae huko huko wakisema wamshtak jiwe atamtetea
 
Mkuu muulize tu taarifa kazitoa wapi atupe majibu,akishindwa kujibu achana naye. Unamuuliza kwa kejeli yeye ni nani akikutafuta Akijitambulisha halafu akawa ni jitu la kutisha kuliko wewe utajificha wapi? Usisahau tupo kwenye fake id na yawezakuwa Humu hadi mzee baba yupo na saa zingine anamponda aliyemteua maana hakumuagiza atende aliyotenda.
Nikweli kabisa
 
Back
Top Bottom