Waliofukuzwa CHADEMA waanza kupewa vyeo Bungeni, Grace Tendega awa Mwenyekiti wa LAAC

Nini kimewafanya CHADEMA wapate ruzuku kubwa kuliko vyame vingine vya upinzani ???
Wewe ndiye uliyewapa hiyo ruzuku au ndiye uliyeipokea?
Kwa maana yako mahakama ndiyo iliyowapeleka na kuwapa ubunge wa viti maalum.
 
Ni jambo jema!
 
Ni bora wakoloni wangerudi kuliko haya yanayoendelea.
 
Acha utapeliii, mungewafukuza halafu leo hiii mkakubali kula ruzuku iinayotokana na uwepo wao bungeniii??? Tulizeni mizuka wabunge hao wakachape kaziii
 
Ila hii Awamu kwa Kuchezea Katiba ni balaa naona KINGA zinafanya kazi
 
Kwani chadema hawachukui ruzuku inayotokana na hao wabunge?
Kama wanachukua sasa wewe kiherehere cha nini?
Mwenyekiti katulia anajichotea polepole wewe unaanza tena nuksi kwake.
 
Na mzee Halima Mdee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…