Step_Rocker
Senior Member
- Aug 31, 2021
- 197
- 323
ukipata sehemu 6a kutumia na mavitu flani easy...ila tofauti na hapo ni utopolo tuHaa ha ha, walau basi umjibu kwamba hao wagunduzi walikua wanatafuta nini huko? Tuelewane mapema, mimi sio NGWINI, ni mathematician mwenzio. Joke
Kilichonifanya nikwepe kwenda PCM badala yake nika opt PCB yalikuwa ni maandalizi ya kuikwepa hesabu, maana niliona usumbufu kila ukihitaji kujua hesabu fulani lazima ukae kwenye kiti ujipinde mgongo uandike andike kwenye karatasi. Wakati kwenye bio-medical sciences ukishameza vitu vyako vyote vya muhimu na kujua sehemu za ku-refer umemaliza mchezo. Hata wakuletee mgonjwa kashindikana vipi, ukishajilaza kama nusu saa tu na ku retrieve vitu kichwani tayari umeshajua aina ya ugonjwa na tiba.....
Hesabu rahisi sana hizo.daaaaah, et laplace, hizo hesabu ni upotezaji tu wa muda,kuna Yale ma matrix ya 6by6.ni ushenzi tu,yalinitesa sana na sasa bado nateseka na maisha kitaa.what a loose of time.
Na hesabu za Trigs zinatumika katika ujenzi wa miundo mbinu hasa madaraja na barabara..Hesabu zinamatumizi...mfano matrix ndo zinatumika kujaza upepo matairi ya ndege
Na pia Hesabu za Logic (Sequence and Series) zinatumika sana kwenye utengenezaji wa electrical circuits, transistors na zile simu za mezani(ck hizi ni chache sana).Na hesabu za Trigs zinatumika katika ujenzi wa miundo mbinu hasa madaraja na barabara..
Leo hii ukimuuliza mtu kwanini kwenye kona kali ya barabara imejengwa ikiwa na slope uelekeo wa kona (sijui nmeeleweka hapa [emoji23]) na kwanini isiwe katika uwiano kama sehemu zingine, bila shaka wengi watakwambia hawajui.
Banking of roads.Na hesabu za Trigs zinatumika katika ujenzi wa miundo mbinu hasa madaraja na barabara..
Leo hii ukimuuliza mtu kwanini kwenye kona kali ya barabara imejengwa ikiwa na slope uelekeo wa kona (sijui nmeeleweka hapa [emoji23]) na kwanini isiwe katika uwiano kama sehemu zingine, bila shaka wengi watakwambia hawajui.
Nenda uwanja wa Taifa utaona matumizi. Kama ni kilaza wa hesabu hata wakeshe wanakufundisha hutaona matumizi.Sioni matumizi ya hesabu kama trigono ratio au logarithim ktk maisha ya kawaida. Yaan zinatumika wapi?
Acha ujinga mkuu na hadithi za kusadikika aka abunuwasi.Wamisri wa kale ndio waasisi wa mahesabu makali yaani wale binadamu walikua balaa chanzo Cha kupata ujuzi huo ni viumbe visivyo vya kawaida kutoka anga za juu walivyoviita miungu!
Huyo ni DJ na hesabu anaitumia au sijajua ye ni DJ wa ku tafsiri movies za kihindi ama ni vipi!Nenda uwanja tlwa Taifa utsona matumuzi. Kama ni kilaza wa hesabu hata wakeshe wanakufundisha hutaona matumizi.
Inatumika kutengeneza jedwali/chati inayotumika kupambanua kwa madaraja aina za udongo kulingana ukubwa wa punje za udongo huo. " Sieve analysis " inahusika hapa.logarithim
Hutumika kukokotoa aina za kani za kiumeme (electrical power triangle), mfano reactive, apparent, na real power hizi unalazimika kutumia sin, cos ama tan kuzipata!!! Pia power factor za mashine za umeme!trigono ratio
Nakubali majibu yakoWataalamu wanasema "hesabu ndio lugha Mwenyezi Mungu aliitumia kuumba ulimwengu" hivyo basi hizo unazoziona ngumu ni sehemu ndogo sana ya hesabu zilizopo ulimwenguni ambazo binadamu tunaweza kuzielewa !
Mkuu; ma pyramid ni kivutio cha utalii lakini pia ni fikirishi.Watu wanajiuliza ni kwa namna gani yale majabali/mawe/matofali makubwa na mazito hivyo yalifikishwa kule juu na hao waliokuwa ni mafundi/wajenzi? Kwa hiyo watu wanachemsha bongo na kugundua au kuendeleza pale alipoishia wa mwanzo. Hata hiyo kompyuta unayotumia leo 2021 haikuwa hivyo mwanzoni. Unaikumbuka Kompyuta Makintosh? (may be spelling nimechemka)Acha ujinga mkuu na hadithi za kusadikika aka abunuwasi.
Na kompyuta unayoitumia imeletwa na viumbe eti?
Dunia ya sasa ina innovations kubwa sana kuliko ma pyramid ambayo hayana kazi yoyote ya maana.
inaonesha jinsi Gani ulivyo kilaza Hivi bila Yale mahesabu waliyogundua wamisri Kuna kitu Cha maana kinachotumia mahesabu kingetengenezwa Leo?Acha ujinga mkuu na hadithi za kusadikika aka abunuwasi.
Na kompyuta unayoitumia imeletwa na viumbe eti?
Dunia ya sasa ina innovations kubwa sana kuliko ma pyramid ambayo hayana kazi yoyote ya maana.