Kumbe watu hawakuwa wanaongopa walivyo sema mzee Meco alikuwa na vi elements vya kina NtibanzonkizaKuna kiongozi wa CCM pale anaitwa Mrefu,ni wa nchi jirani na alichangisha wenzie sana kumuingiza PAKA madarakani, Sasa wanajigeuza wanaanza kujiita wasukuma (sukuma gang) kumbe warundi tu
Hapa naamini wametosheka.Sipajui wapi? Buzirayombo? Buziku? Kitela? Kachwamba? Jinery? Mabanzini? Central Bar? Nyabilezi? Bukome?Mganza? Bwongera kwa yule diwani muhujumu uchumi? Makurugusi? Iparamasa? Katete? Nyamirembe?
Jomba umetisha. Kila chochoro ya Cha to unaijua?Sipajui wapi? Buzirayombo? Buziku? Kitela? Kachwamba? Jinery? Mabanzini? Central Bar? Nyabilezi? Bukome?Mganza? Bwongera kwa yule diwani muhujumu uchumi? Makurugusi? Iparamasa? Katete? Nyamirembe?
Hela yao itarudi bila chato kuwa mkoaWale wawekezaji wa michongo Sasa wanahaha, Chato Ina magesti house mengi saana na yamejengwa kwa mikopo, wengi waliojenga walitarajia mzee angekaa madarakani miaka mingi sana. Kuna makumi ya magesti hayajaisha, mengine yameisha...
Basi mada za kis*ng* na chuki zanamna hii huwa nazishangaa na kuzidharau sana.Wale wawekezaji wa michongo Sasa wanahaha, Chato Ina magesti house mengi saana na yamejengwa kwa mikopo, wengi waliojenga walitarajia mzee angekaa madarakani miaka mingi sana. Kuna makumi ya magesti hayajaisha, mengine yameish...
kusema mleta mada ni mtu wa hovyo bila kuambatanisha hoja yoyote hapa wewe ndo unaonekana ni mtu wa hovyo.
Masikini unaongea nini?....unajua shughuli ya kujenga hoteli au kiwanda....wewe ni mmoja wa makada wapumbavu sana.....sasa si mnasema aliyepo anaupiga mwingi subirini muda si mrefu lazima mkohoe damu chawa nyinyi.....Wale wawekezaji wa michongo Sasa wanahaha, Chato Ina magesti house mengi saana na yamejengwa kwa mikopo, wengi waliojenga walitarajia mzee angekaa madarakani miaka mingi sana. Kuna makumi ya magesti hayajaisha, mengine yameisha...
mleta mada una uthibitisho wa unachokisema au ndio mihemko??, kwa hiyo unachotaka kusema hizo nyumba zote zilijengwa kwa mikopo??Wale wawekezaji wa michongo Sasa wanahaha, Chato Ina magesti house mengi saana na yamejengwa kwa mikopo, wengi waliojenga walitarajia mzee angekaa madarakani miaka mingi sana. Kuna makumi ya magesti hayajaisha, mengine yameish...
Ile hoteli ya mbugani pale Chato? Mbuga iliyojaa panya buku hakuna hata mnyama mmoja wa kuvutia utalii? Na serikali haifanyi biashara, mtatwambia hii sera ilibadilika lini mpaka mnalazimisha serikali ijenge hoteli, badala ya wafanyabiasharMasikini unaongea nini?....unajua shughuli ya kujenga hoteli au kiwanda....wewe ni mmoja wa makada wapumbavu sana.....sasa si mnasema aliyepo anaupiga mwingi subirini muda si mrefu lazima mkohoe damu chawa nyinyi.....
Chato Kuna MAgari ya faya?Zile ATM zina buibui, lazima ufute buibui ndipo uzitumie, yale magari ya zimamoto pale Chato yatumiwe kwa kilimo Cha umwagiliaji au yahamishiwe Geita