Waliokopa hela Benki kujenga ma guest Chato, viwanda, nyumba za kupanga wanahaha, wanahonga wanasiasa ili Chato iwe Mkoa hela irudi

Waliokopa hela Benki kujenga ma guest Chato, viwanda, nyumba za kupanga wanahaha, wanahonga wanasiasa ili Chato iwe Mkoa hela irudi

Kuna kiongozi wa CCM pale anaitwa Mrefu,ni wa nchi jirani na alichangisha wenzie sana kumuingiza PAKA madarakani, Sasa wanajigeuza wanaanza kujiita wasukuma (sukuma gang) kumbe warundi tu
Kumbe watu hawakuwa wanaongopa walivyo sema mzee Meco alikuwa na vi elements vya kina Ntibanzonkiza
 
Sipajui wapi? Buzirayombo? Buziku? Kitela? Kachwamba? Jinery? Mabanzini? Central Bar? Nyabilezi? Bukome?Mganza? Bwongera kwa yule diwani muhujumu uchumi? Makurugusi? Iparamasa? Katete? Nyamirembe?
Hapa naamini wametosheka.
Wewe ni mwana Chato kamili,
Unachoongea unakijua vema.

Mambo yanaenda kinyume chake.

Watu walinunua ardhi Bagamoyo, walisubiri Bandari na mji wa Viwanda ili wanufaike.
Magufuli akaufyeka mradi ule, lakini akaenda kujenga kwao Chato.
Sasa kinachotokea Chato ni hadithi ile ile.
 
Juzi tu nilifika Chato nikitokea Geita!!. Nilichobaini Chato ndicho kilichoandikwa na mtoa mada japo anapigwa madongo. Geita angalau inaonekena kuwa na hadhi ya mkoa, lakini sio Chato.

Pamoja na miundombinu lukuki iliyowekezwa pale bado hali duni imetamalaki katika viunga vyote vya kijiji cha Chato, labda turuhusu wahamiaji kutoka nchi za Afghanistan,Palestina, Ethiopia na Mexico wanaozikimbia nchi zao waje waongeze idadi ya raia wenye uwezo na ushindani.
 
Wale wawekezaji wa michongo Sasa wanahaha, Chato Ina magesti house mengi saana na yamejengwa kwa mikopo, wengi waliojenga walitarajia mzee angekaa madarakani miaka mingi sana. Kuna makumi ya magesti hayajaisha, mengine yameisha...
Hela yao itarudi bila chato kuwa mkoa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Wale wawekezaji wa michongo Sasa wanahaha, Chato Ina magesti house mengi saana na yamejengwa kwa mikopo, wengi waliojenga walitarajia mzee angekaa madarakani miaka mingi sana. Kuna makumi ya magesti hayajaisha, mengine yameish...
Basi mada za kis*ng* na chuki zanamna hii huwa nazishangaa na kuzidharau sana.

Mantiki ya hoja yako ni nini?

Enhe, hizo miundo mbinu unazozinanga wewe siyo maendeleo ya watu?

Zisingejengwa hizo miundo mbinu hao masikini wangekuwa wameishaendelea?

Haya toa elimu sasa, maendeleo ya vitu yanatofautiana vipi na maendeleo ya watu?

Mtu anawezaje kuendelea bila kuwa na vitu?

Rubish!
 
zile hotel za marwhemu john alizojenga bukome zitakaliwa na nani?

zile nyumba za kalemani alizojenga nyabilezi karibu na mseveni school atampangisha nani,

mle chato kuna lodge kali sana hazina wateja... yaani hata kwa buku 5 watu hawapo.

jmosi ni siku ya soko, lakini hamna wanunuzi.

barabara pale wnapoita mjini zote ni za lami lkn hazina magari isipokuwa Pkpk sanlg na boxer (wao hutamka boksaa) za walimu.

kwa sasa chato hakuna wageni, mausalama wengi wamehamishwa na Malaya wameyeyuka.

mkuu chinembe nadhani tupo kundi moja la admin yule katibu Wa wazaz huko tabora aliozawadiwa baada ya kumpiga lisu na msafara wake
 
Wale wawekezaji wa michongo Sasa wanahaha, Chato Ina magesti house mengi saana na yamejengwa kwa mikopo, wengi waliojenga walitarajia mzee angekaa madarakani miaka mingi sana. Kuna makumi ya magesti hayajaisha, mengine yameisha...
Masikini unaongea nini?....unajua shughuli ya kujenga hoteli au kiwanda....wewe ni mmoja wa makada wapumbavu sana.....sasa si mnasema aliyepo anaupiga mwingi subirini muda si mrefu lazima mkohoe damu chawa nyinyi.....
 
Wale wawekezaji wa michongo Sasa wanahaha, Chato Ina magesti house mengi saana na yamejengwa kwa mikopo, wengi waliojenga walitarajia mzee angekaa madarakani miaka mingi sana. Kuna makumi ya magesti hayajaisha, mengine yameish...
mleta mada una uthibitisho wa unachokisema au ndio mihemko??, kwa hiyo unachotaka kusema hizo nyumba zote zilijengwa kwa mikopo??
 
Masikini unaongea nini?....unajua shughuli ya kujenga hoteli au kiwanda....wewe ni mmoja wa makada wapumbavu sana.....sasa si mnasema aliyepo anaupiga mwingi subirini muda si mrefu lazima mkohoe damu chawa nyinyi.....
Ile hoteli ya mbugani pale Chato? Mbuga iliyojaa panya buku hakuna hata mnyama mmoja wa kuvutia utalii? Na serikali haifanyi biashara, mtatwambia hii sera ilibadilika lini mpaka mnalazimisha serikali ijenge hoteli, badala ya wafanyabiashar
 
Hapo nyumani kwako ujenzi umekamilikaa.

Ya chato hayatuhusu wanaoishi huko ni binadam kama sisi
 
Back
Top Bottom