Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kumbe watu hawakuwa wanaongopa walivyo sema mzee Meco alikuwa na vi elements vya kina NtibanzonkizaKuna kiongozi wa CCM pale anaitwa Mrefu,ni wa nchi jirani na alichangisha wenzie sana kumuingiza PAKA madarakani, Sasa wanajigeuza wanaanza kujiita wasukuma (sukuma gang) kumbe warundi tu