Waliokopa hela Benki kujenga ma guest Chato, viwanda, nyumba za kupanga wanahaha, wanahonga wanasiasa ili Chato iwe Mkoa hela irudi

Umeandika sentensi kwa herufi kunwa kama baba yako Ndugai.

Tofauti ya taa za Masasi na za Chato. Taa za Chato zipo kama mapambo, lakini za sehemu nyingine angalau zinaongoza magari.
 
Chato ilistahili kubakia kuwa kijiji na siyo wilaya. Haya, uliona wapi kijiji chenye taa za barabarani?
 
kusema mleta mada ni mtu wa hovyo bila kuambatanisha hoja yoyote hapa wewe ndo unaonekana ni mtu wa hovyo.
Hv kipi kinazuia Chato isipate haki yake ya miundombinu ? mataa yapo hata wilaya masasi , uwanja wa ndege upo hata wilaya ya Hai tena uwanja mkubwa wa kimataifa , kwann iwe Chato ndo kosa ila wilaya ya Hai sio Kosa ? Sion uhusiano wa rais na hizo guests kwamba JPM aliwaza kote akakomea kwenye kuwashauri watu wa chato wakope wajenge guest wakiamini chato ikiwa mkoa ela zitarudi , kwan ikiwa mkoa kipi kitaongezeka cha kuwapa wateja wengi wenye hizo guests? kuna dots hamuungi vizur jifunzen kutunga stori , ni mjinga tu ndo anaeza zisikiliza hizo stori
 
Mtu timamu atagundua umeandika kwa chuki , uliyoyaandika yote yapo kila wilaya ya Tanzania labda kama kusafir kwako ni dar to chato , tembea upanue akili yako maana naona ulitaka chato isiwe na chochote kisa ni kwao rais ?
 
mleta mada una uthibitisho wa unachokisema au ndio mihemko??, kwa hiyo unachotaka kusema hizo nyumba zote zilijengwa kwa mikopo??
Akil ya mtoa mada ni fupi , nyumbu wenzie ndo watamsikiliza utoto wake huo
 
Kwani vijiji vya Lindi na Babati vina hadhi ya kuwa mkoa ? Mtoa mada mburula tu.
 
Ile hoteli ya mbugani pale Chato? Mbuga iliyojaa panya buku hakuna hata mnyama mmoja wa kuvutia utalii? Na serikali haifanyi biashara, mtatwambia hii sera ilibadilika lini mpaka mnalazimisha serikali ijenge hoteli, badala ya wafanyabiashar
Tz ni nchi pekee inajiendesha kwa mikopo , serikali haina miradi yoyot na inasamehe kodi matajiri as if serikali wana ela , aibu tupu !!! Nyerere was a genius
 
Acha magari, kuna kituo Cha zimamoto chenye thamani ya mabilioni kuliko hata Cha Dsm
Acha uongo wewe , hv unanufaika na nininkudanganya umma ? au kuna mtu anakutuma udanganye umma?
 
Imekamilika mkuu, nawaza ya nchi
Hili jitu pumbaff kbs , akil kum kichwa ni zero kbs , ukanda unamsumbua tu , maflyover , njia nne za dar , stend ya kimataifa , brt ila bado hataki chato iwe hata na mataa ya barabarani .Mbona wilaya nyingi tu zina mataa
 
Kwa Chato nakuhakikishia kurogwa na maisha yako kuwa ya hovyo
Mweleze jamaa huo utopolo wako ss , mnadanganya sn sijui mnahisi hakuna watu wa chato humu jf
 
Hata ikiwa mkoa kwani pesa itarudi vipi? Serikali itakuwa inaishia guest au hotelini?

Wajinga ndio waliwao.
 
Gorodiani alipewa tenda ya kuuza simenti Chato mzima, vipi? Bado ana wateja? Maana sekta ya ujenzi imekwama, miradi haiendelei
Tangu mwenye chato yake kila kitu kimesimama hadi tupatiwe mkoa
 
Hiyo bandari kwa taarifa yako sasa hivi hesabu muda mfupi tu ujao itaanza kujengwa na hilo ndiyo litakuwa pigo jingine takatifu na pigo lenye nguvu kutoka kwa wajivuni kwenda kwa sukuma gang.
Daah yaan nchi inaendeshwa kiutani utani ila siku ndo zinaenda [emoji22]
 
Daah yaan nchi inaendeshwa kiutani utani ila siku ndo zinaenda [emoji22]
Tunawaonyesha kuwa sukuma gang mtateseka sana hadi mtamani kumfuata mfadhili wenu aliko
 
Umeandika sentensi kwa herufi kunwa kama baba yako Ndugai.

Tofauti ya taa za Masasi na za Chato. Taa za Chato zipo kama mapambo, lakini za sehemu nyingine angalau zinaongoza magari.
Yaani sehemu yenye wafanyabiashara wenye uwezo wa kuwaonga wanasiasa na wenye uwezo wa kujenga maguest leo hii wakose hata baiskeri ya kupita nazo kwenye hizo roads zenye mataa? yaan narudia ni vichaa tu ndo watakusikiliza , unaongea pumba sana na hujui kutunga stori
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…