Kibingu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2022
- 1,078
- 1,445
Umeandika sentensi kwa herufi kunwa kama baba yako Ndugai.Mnajuwa kutunga stori ili kudanganya watu , nmewai kwenda chato ila stori nyingi nligundua zinatowa chumvi za kisiasa , hamna jipya , mataa ni kama mataa ya wilaya nyingine km masasi,mtwara pia uwanja wa ndege ni wakawaida sana ila wanasiasa wanatumia advantage ya kujengwa kweny utawala wa JPM ila hawajiulizi ni mangapi yamefanywa nje ya chato kipind cha JPM au mtu ulitaka wilaya isiwe na mataa hata sehemu moja? wakati zipo wilaya nyingi zina mataa ikiwemo masasi , pia ulitaka wilaya isiwe na benki ? au wilaya isiwe na uwanja wa ndege , KUNA VITU UKIONGEA ATAVIAMINI MJINGA TU , JPM aliandamwa sana ila leo hayupo duniani mtutajie mali zake ss ili tujue km ni mwizi
Tofauti ya taa za Masasi na za Chato. Taa za Chato zipo kama mapambo, lakini za sehemu nyingine angalau zinaongoza magari.