Waliokopa hela Benki kujenga ma guest Chato, viwanda, nyumba za kupanga wanahaha, wanahonga wanasiasa ili Chato iwe Mkoa hela irudi

Waliokopa hela Benki kujenga ma guest Chato, viwanda, nyumba za kupanga wanahaha, wanahonga wanasiasa ili Chato iwe Mkoa hela irudi

Zile ATM zina buibui, lazima ufute buibui ndipo uzitumie, yale magari ya zimamoto pale Chato yatumiwe kwa kilimo Cha umwagiliaji au yahamishiwe Geita
Mnajuwa kutunga stori ili kudanganya watu , nmewai kwenda chato ila stori nyingi nligundua zinatowa chumvi za kisiasa , hamna jipya , mataa ni kama mataa ya wilaya nyingine km masasi,mtwara pia uwanja wa ndege ni wakawaida sana ila wanasiasa wanatumia advantage ya kujengwa kweny utawala wa JPM ila hawajiulizi ni mangapi yamefanywa nje ya chato kipind cha JPM au mtu ulitaka wilaya isiwe na mataa hata sehemu moja? wakati zipo wilaya nyingi zina mataa ikiwemo masasi , pia ulitaka wilaya isiwe na benki ? au wilaya isiwe na uwanja wa ndege , KUNA VITU UKIONGEA ATAVIAMINI MJINGA TU , JPM aliandamwa sana ila leo hayupo duniani mtutajie mali zake ss ili tujue km ni mwizi
 
Wewe huna akili Kuna mfanyabiashara Wa chato anaweza kuhonga wanasiasa, wanasiasa wanahongwa na mabeberu hongo kubwa, sema hivi labda wao ndo Wana hizo Gesti na wanashinikiza chato kuwa mkoa. Hata ikiwa mkoa haisaidii
bora bro umeliona hilo , yaani ile takwimu ya 3/4 ya watz ni wajinga ni ya ukweli , eti wafanyabiashara wa chato wanawahonga wanasiasa , hiki si kituko sasa
 
Kuna kiongozi wa CCM pale anaitwa Mrefu,ni wa nchi jirani na alichangisha wenzie sana kumuingiza PAKA madarakani, Sasa wanajigeuza wanaanza kujiita wasukuma (sukuma gang) kumbe warundi tu
Warundi na PAKA wap na wap , katunge stori nyingine
 
Mnajuwa kutunga stori ili kudanganya watu , nmewai kwenda chato ila stori nyingi nligundua zinatowa chumvi za kisiasa , hamna jipya , mataa ni kama mataa ya wilaya nyingine km masasi,mtwara pia uwanja wa ndege ni wakawaida sana ila wanasiasa wanatumia advantage ya kujengwa kweny utawala wa JPM ila hawajiulizi ni mangapi yamefanywa nje ya chato kipind cha JPM au mtu ulitaka wilaya isiwe na mataa hata sehemu moja? wakati zipo wilaya nyingi zina mataa ikiwemo masasi , pia ulitaka wilaya isiwe na benki ? au wilaya isiwe na uwanja wa ndege , KUNA VITU UKIONGEA ATAVIAMINI MJINGA TU , JPM aliandamwa sana ila leo hayupo duniani mtutajie mali zake ss ili tujue km ni mwizi
Hakuna mtu mwenye muda wa kushughulika na marehemu
 
Hapa naamini wametosheka.
Wewe ni mwana Chato kamili,
Unachoongea unakijua vema.

Mambo yanaenda kinyume chake.

Watu walinunua ardhi Bagamoyo, walisubiri Bandari na mji wa Viwanda ili wanufaike.
Magufuli akaufyeka mradi ule, lakini akaenda kujenga kwao Chato.
Sasa kinachotokea Chato ni hadithi ile ile.
Ko bandari ya bagamoyo akaipeleka Chato ? Yaan ulitaka ijengwe bandari bagamoyo kwa shinikizo la kutoiendeleza bandari nyingine ukanda wa pwani ya Tanzania? uliona ilikuwa akili hii ? tuue bandar zote kisa bandari ambayo pia hatuna influence nayo
 
bora bro umeliona hilo , yaani ile takwimu ya 3/4 ya watz ni wajinga ni ya ukweli , eti wafanyabiashara wa chato wanawahonga wanasiasa , hiki si kituko sasa
Kwa mujibu wa tafiti ya TWAWEZA walisema wafuasi wengi wa ccm wengi wao ni masikini wa kutupwa na wengi wao ni std 7 na waliokata tamaa ya maisha .

Matokeo yake mkurugenzi wake Dyagunze akaanza kuandamwa hadi akanyang'anywa pasi yake ya kusafiria.
 
Viongozi wote wa awamu ya 5 wakiwemo wakurugenzi walilazimishwa kununua viwanja Chato kwa nguvu na walilazimishwa kujenga kwa nguvu , Je yale magofu yao na mapori watayafanyaje ?
Hii nchi inavichaa wengi kweli , hizo stori za kutunga kawaadithie watoto wenzio [emoji12]
 
Ko bandari ya bagamoyo akaipeleka Chato ? Yaan ulitaka ijengwe bandari bagamoyo kwa shinikizo la kutoiendeleza bandari nyingine ukanda wa pwani ya Tanzania? uliona ilikuwa akili hii ? tuue bandar zote kisa bandari ambayo pia hatuna influence nayo
Hiyo bandari kwa taarifa yako sasa hivi hesabu muda mfupi tu ujao itaanza kujengwa na hilo ndiyo litakuwa pigo jingine takatifu na pigo lenye nguvu kutoka kwa wajivuni kwenda kwa sukuma gang.
 
Juzi tu nilifika Chato nikitokea Geita!!. Nilichobaini Chato ndicho kilichoandikwa na mtoa mada japo anapigwa madongo. Geita angalau inaonekena kuwa na hadhi ya mkoa, lakini sio Chato.

Pamoja na miundombinu lukuki iliyowekezwa pale bado hali duni imetamalaki katika viunga vyote vya kijiji cha Chato, labda turuhusu wahamiaji kutoka nchi za Afghanistan,Palestina, Ethiopia na Mexico wanaozikimbia nchi zao waje waongeze idadi ya raia wenye uwezo na ushindani.
Kuna miundombinu gani ya chato ambayo ni yofauti na Wilaya kama za Chalinze , Masasi , Same , Nzega au Hai ? Kuna muda siasa zinawafanya mtunge uongo sana , chato nmefika sijaona maajabu yyte ya kusema JPM kafanya , chochote kilifanywa hapo Chato kimefanywa pia wilaya nyingine za Tanzania
 
Back
Top Bottom