Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sukuma GANG chali ..Mleta mada huna akili kabisa na hujui Chato
Hata Halmashauri ya Jiji la Dodoma kupima viwanja vingiMWENDAZAKE aliwaangiza CHOO cha KIKE
Ohooo yamekuwa hayo tena? Niombe uhamisho usitishwe.Kwa Chato nakuhakikishia kurogwa na maisha yako kuwa ya hovyo
Warundi waliojificha kwenye Usukuma.. wachomoeni huko CCM muwafukie wakiwa hai.Hawa ni warundi, sio wasukuma
Mnajuwa kutunga stori ili kudanganya watu , nmewai kwenda chato ila stori nyingi nligundua zinatowa chumvi za kisiasa , hamna jipya , mataa ni kama mataa ya wilaya nyingine km masasi,mtwara pia uwanja wa ndege ni wakawaida sana ila wanasiasa wanatumia advantage ya kujengwa kweny utawala wa JPM ila hawajiulizi ni mangapi yamefanywa nje ya chato kipind cha JPM au mtu ulitaka wilaya isiwe na mataa hata sehemu moja? wakati zipo wilaya nyingi zina mataa ikiwemo masasi , pia ulitaka wilaya isiwe na benki ? au wilaya isiwe na uwanja wa ndege , KUNA VITU UKIONGEA ATAVIAMINI MJINGA TU , JPM aliandamwa sana ila leo hayupo duniani mtutajie mali zake ss ili tujue km ni mwiziZile ATM zina buibui, lazima ufute buibui ndipo uzitumie, yale magari ya zimamoto pale Chato yatumiwe kwa kilimo Cha umwagiliaji au yahamishiwe Geita
Unapenda taarifa zinazokufurahisha?Asante sana mkuuu kwa kunifumbua macho
bora bro umeliona hilo , yaani ile takwimu ya 3/4 ya watz ni wajinga ni ya ukweli , eti wafanyabiashara wa chato wanawahonga wanasiasa , hiki si kituko sasaWewe huna akili Kuna mfanyabiashara Wa chato anaweza kuhonga wanasiasa, wanasiasa wanahongwa na mabeberu hongo kubwa, sema hivi labda wao ndo Wana hizo Gesti na wanashinikiza chato kuwa mkoa. Hata ikiwa mkoa haisaidii
Warundi na PAKA wap na wap , katunge stori nyingineKuna kiongozi wa CCM pale anaitwa Mrefu,ni wa nchi jirani na alichangisha wenzie sana kumuingiza PAKA madarakani, Sasa wanajigeuza wanaanza kujiita wasukuma (sukuma gang) kumbe warundi tu
Hakuna mtu mwenye muda wa kushughulika na marehemuMnajuwa kutunga stori ili kudanganya watu , nmewai kwenda chato ila stori nyingi nligundua zinatowa chumvi za kisiasa , hamna jipya , mataa ni kama mataa ya wilaya nyingine km masasi,mtwara pia uwanja wa ndege ni wakawaida sana ila wanasiasa wanatumia advantage ya kujengwa kweny utawala wa JPM ila hawajiulizi ni mangapi yamefanywa nje ya chato kipind cha JPM au mtu ulitaka wilaya isiwe na mataa hata sehemu moja? wakati zipo wilaya nyingi zina mataa ikiwemo masasi , pia ulitaka wilaya isiwe na benki ? au wilaya isiwe na uwanja wa ndege , KUNA VITU UKIONGEA ATAVIAMINI MJINGA TU , JPM aliandamwa sana ila leo hayupo duniani mtutajie mali zake ss ili tujue km ni mwizi
Ko bandari ya bagamoyo akaipeleka Chato ? Yaan ulitaka ijengwe bandari bagamoyo kwa shinikizo la kutoiendeleza bandari nyingine ukanda wa pwani ya Tanzania? uliona ilikuwa akili hii ? tuue bandar zote kisa bandari ambayo pia hatuna influence nayoHapa naamini wametosheka.
Wewe ni mwana Chato kamili,
Unachoongea unakijua vema.
Mambo yanaenda kinyume chake.
Watu walinunua ardhi Bagamoyo, walisubiri Bandari na mji wa Viwanda ili wanufaike.
Magufuli akaufyeka mradi ule, lakini akaenda kujenga kwao Chato.
Sasa kinachotokea Chato ni hadithi ile ile.
Kwa mujibu wa tafiti ya TWAWEZA walisema wafuasi wengi wa ccm wengi wao ni masikini wa kutupwa na wengi wao ni std 7 na waliokata tamaa ya maisha .bora bro umeliona hilo , yaani ile takwimu ya 3/4 ya watz ni wajinga ni ya ukweli , eti wafanyabiashara wa chato wanawahonga wanasiasa , hiki si kituko sasa
Hii nchi inavichaa wengi kweli , hizo stori za kutunga kawaadithie watoto wenzio [emoji12]Viongozi wote wa awamu ya 5 wakiwemo wakurugenzi walilazimishwa kununua viwanja Chato kwa nguvu na walilazimishwa kujenga kwa nguvu , Je yale magofu yao na mapori watayafanyaje ?
Hiyo bandari kwa taarifa yako sasa hivi hesabu muda mfupi tu ujao itaanza kujengwa na hilo ndiyo litakuwa pigo jingine takatifu na pigo lenye nguvu kutoka kwa wajivuni kwenda kwa sukuma gang.Ko bandari ya bagamoyo akaipeleka Chato ? Yaan ulitaka ijengwe bandari bagamoyo kwa shinikizo la kutoiendeleza bandari nyingine ukanda wa pwani ya Tanzania? uliona ilikuwa akili hii ? tuue bandar zote kisa bandari ambayo pia hatuna influence nayo
Sukuma gang mmeanza kukatwa mikia hata kama mpo ziziniHii nchi inavichaa wengi kweli , hizo stori za kutunga kawaadithie watoto wenzio [emoji12]
Kuna miundombinu gani ya chato ambayo ni yofauti na Wilaya kama za Chalinze , Masasi , Same , Nzega au Hai ? Kuna muda siasa zinawafanya mtunge uongo sana , chato nmefika sijaona maajabu yyte ya kusema JPM kafanya , chochote kilifanywa hapo Chato kimefanywa pia wilaya nyingine za TanzaniaJuzi tu nilifika Chato nikitokea Geita!!. Nilichobaini Chato ndicho kilichoandikwa na mtoa mada japo anapigwa madongo. Geita angalau inaonekena kuwa na hadhi ya mkoa, lakini sio Chato.
Pamoja na miundombinu lukuki iliyowekezwa pale bado hali duni imetamalaki katika viunga vyote vya kijiji cha Chato, labda turuhusu wahamiaji kutoka nchi za Afghanistan,Palestina, Ethiopia na Mexico wanaozikimbia nchi zao waje waongeze idadi ya raia wenye uwezo na ushindani.