CCM ni kubwa kuliko Nape na Makamba,Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya CCM. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.
mwacheni raisi afanye maamuzi yake msimchanganyeUteuzi wa Nchimbi haukuwa wa kubahatisha bali tactical.
Chinua Achebe ‘things fall apart’
Yetu macho kuelekea 2025
Kama ww ndie Nape mwenyewe ulieandika thread hii uko sawa kabisa lkn kama sivyo that is totally wrong kwa maamuzi aliyoyafanya Rais.Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya CCM. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi...
Halafu watu wenyewe wamechoka vichwani.Nape na huyo Makamba wana umri gani? Wanazijua siasa za bara kumzidi nani? Nchimbi? Wewe? Au mimi?
Tulia tu mda ndio utasema jambo lenye kueleweka
We chawa tu.Wizi wa kura kwako ni mipango mizuri?
Ifike sehemu waTz tuthamini mambo ya haki pamoja na uadilifu.
Kwa akili zako unaona wizi na forgery chafu za kughushi matokeo pamoja na kuchakachua kura ndiyo mbinu hizo?
Tena kuwatema hao manyang'au Rais kajiongezea credit katika mioyo ya Raia waliokuwa wamefura kwa kuwawekea hao waliokuwa ni mawaziri mizigo.
Akitaka amalize tatizo, amuondoe na huyo mmoja aliyebakia anayepigiwa kelele sana.
Only TISS nchi hii ndio wakiona umevuka mipaka wanafanya lolote hao wengine nguvu yao inakua wakiwa na vyeo fofauti na hapo hamna kitu
Nipo around. Ukiingia nitakuona tuKiongozi upo kwa wapi ili nikujue maana na mimi nitakuwepo
Unataka picha?Chai Jaba
Wapige picha!Kwa taarifa za uhakika ni kuwa January , Bashe , Nape na wengine ambazo nitawataja hapa baada ya kikao kuanza wanakutana Tanga beach resort kuanzia jioni ya Leo kupanga "the next forward" baada ya Rais Samia kuwaondoa baadhi ya members katika cabinet.
Hakuna kitakakachojificha. Kila aina ya uhuni na ushenzi unaopangwa utawekwa hadharani na hatua Kali za kuwadhibiti zitachukuliwa.
Angalizo: Mama Samia usidhani ni januari na Nape tu ndio waliokua wanakuzunguka wapo na wengine na muda si mrefu tutawataja. Hussein Bashe ni mmoja wapo yupo Tanga kwenye kikao hiki.
Me nimevaa suti nyeusi....we umevaaje kiongoziNipo around. Ukiingia nitakuona tu
Picha zipo wakati sahihi naziachiaWapige picha!
Hamna aliyevaa suti labda kama Bado hujaingia.Me nimevaa suti nyeusi....we umevaaje kiongozi
Sijafika bado...we umevaajeHamna aliyevaa suti labda kama Bado hujaingia.
Ukiingia nitakuona tuSijafika bado...we umevaaje
Sasa mbona wewe utaki nikuone mkiuUkiingia nitakuona tu