Pre GE2025 Waliomshauri Rais Samia kuwatengua Nape na Makamba, wamempotosha. 2025 Rais Samia atakwama!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Hamna mtu special hapa duniani wameondoka na hamna kitakachoharibika kama walivyokuja, who are they? Tanzania ina watu milioni 60 msifanye nape na january special saaana! Kwenda zao huko. Watoto wanazaliwa kila siku nchi itakwenda na watabaki kwenye bahari ya sahau! Rais hana mtu wa kumtisha acheni upumbavu vijana! Halafu mkitoka hapa mnaenda kulalamika hamna ajira, magufuli aliwasukumilia mbali walifanya nini zaidi ya majungu na akayakamata wakarudi kulialia kuomba msamaha! Nothing permanent na hamna mwenye hatimiliki ya uongozi wala ya nchi! Eti rais atakwama? My foot, rais akwame kwa sababu ya hao watoto? Labda aamue kukwama mwenyewe! Aliondoka Trump atakuwa makamba?
 
Mkuu usijali, Ubaya Bwela ukimwaga mboga sisi tunaasepa na chumvi
 
Yani kwa zile kauli za Nape kwa position yake lakini pia incompetence aliyonayo bado unaona the guy deserve kukuongoza??
 
Nape mbona kama kajivuruga mwenyewe kwa kauki zake?

Samia angefanya mabadiliko bila kumuondoa Nape i gekuwa kama kakubali maneno ya Nape kuwa CCM inaiba chaguzi.

Ilikuwa lazima Nape aondolewe ili Samia aji distance naye.
 
Wanadamu hawana wema kabisa. Ndiyo maana Magufuli alikuwa anatenda tu potelea mbali.

Wewe ulikuwa ni mmoja uliotaka waondoshwe, na unataka chama kishindwe hasa Samia.

Hapa sasa ni kama inakuuma. Usiogope mambo hayata haribika sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…