Walionyang'anywa mali na Hayati Magufuli waomba kurudishwa mali zao

Wezi lazima wataifishwe mali zao, acha kujitoa fahamu.

Kuna watu wanakula kwa mlija na kuiba mali za uma. siku nikiwa Rais lazima warudishe mali za umma.
 
Tatizo sio kudaiwa bali hizo walizoporwa ziliingizwa wapi? Hazionekani hazina..
Hebu tuambie aliziweka wapi?
 
nyingi sana ziliishia mikononi kwa vijana wa jiwe, kufanya hili zoezi litawakumba wengi si Sabaya pekee.
 
Kialali = kihalali. Tatizo ni umaskini wako. Hutakaa uelewe haya yanayozungumzwa. Siku ukitoka kwenye hilo dimbwi la umaskini ndo utaelewa.
 
Kialali = kihalali. Tatizo ni umaskini wako. Hutakaa uelewe haya yanayozungumzwa. Siku ukitoka kwenye hilo dimbwi la umaskini ndo utaelewa.
Achana na mambo ya umasikini, umasikini wangu hausiani mada hii,nimekuliza unaweza nitajia tajiri hata mmoja aliwahi kujitokeza kwa nyaraka halali za benki kabla au baada ya kifo cha Magufuli kuwa alichukuliwa fedha yake benki?au nyinyi ndio chawa wa Samia aliowasema kuwa amewamwaga mtaani kumtetea,kila siku mnasema Magufuli aliwanyanganya fedha wafanyabiara,tukiuliza ushaidi mnasema Sisi masikini.Upuuzi mtupu.
 
Kama wewe unakiri kwamba ni maskini basi hautakaa uelewe kilio cha matajiri. Hizi ni zama za kila mbuzi kula kwa urefu wa kamba yake.
 
Dah.. ila Magu jamani...!!!?? Hivi alikuwa ni mtu kweli!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…