B M F ICONIC
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 824
- 1,631
Una mtamani au unampenda?Wazeee tuache utani mm nimefolling love na muhudumu wa bar moja maarufu Hapa dodoma jina naweka kapuni
Ila ukweli usemwe huyu muhudumu ananikosha sna wakuu namkubali mbaya
Wacha nijitoze wenda aka tulia
Kasema nani anafanyiwa wema simba anacheza sarakasi itakuwa binadamu ,huachi kaka.Kunguru Hafugiki Mkuu
Halali ya Choir master. 😀waimba kwaya ni hatari sana. Wale watu wanakulana sijapata ona. Oh tumeweka kambi ya mazoezi ya album bagamoyo.... noma sana.
Kwann mkuuItoshe kusema utakuwa huyapendi maisha yako
Duh 😂😂😂Unataka kuifanya daladala iwe gari private?
CC: Nigrastratatract nerve ,na @mbingunikhawa wameoa mabaamedi wa kijani watatoa ushuhuda mzuriWazeee tuache utani mm nimefolling love na muhudumu wa bar moja maarufu Hapa dodoma jina naweka kapuni
Ila ukweli usemwe huyu muhudumu ananikosha sna wakuu namkubali mbaya
Wacha nijitoze wenda aka tulia
Vyote ukimtamani ni kupenda tuUna mtamani au unampenda?
Unaishipo au unapits?
Kama ni Angel uiniue tu
Wako wapo wazeee wa nipe experienceCC: Nigrastratatract nerve ,na @mbingunikhawa wameoa mabaamedi wa kijani watatoa ushuhuda mzuri
Mm naish hapa hapa ddm kumuamisha ni ngumuWe weka ndani
Ila hakikisha anakata mawasiliano na wadau wake.
Kumbuka ni wale wadau Hadi wewe wakikuona wanakuita shem ndio wagumu Dem kuwaachia.
Halafu akupende wewe, nasisitiza.
Kila ukisafiri ukirudi mpime.
Ikiwezekana muhamishe Dodoma
Kafuatilie mirathi ya Melau Mrema ndio utajifunza mengi zaidiWazeee tuache utani mm nimefolling love na muhudumu wa bar moja maarufu Hapa dodoma jina naweka kapuni
Ila ukweli usemwe huyu muhudumu ananikosha sna wakuu namkubali mbaya
Wacha nijitoze wenda aka tulia
Hifadhi na kwa wenzio pia watamla tu.Wazeee tuache utani mimi nimefolling love na muhudumu wa bar moja maarufu Hapa Dodoma jina naweka kapuni
Ila ukweli usemwe huyu muhudumu ananikosha sana wakuu namkubali mbaya
Wacha nijitoze wenda akatulia
sio jambo baya, na wala sio jambo jipya gentleman..Wazeee tuache utani mm nimefolling love na muhudumu wa bar moja maarufu Hapa dodoma jina naweka kapuni
Ila ukweli usemwe huyu muhudumu ananikosha sna wakuu namkubali mbaya
Wacha nijitoze wenda aka tulia
Adela nishamla mara mbiliMkuu kama ni ADELA hata mimi namkubali sana
Itakuwa ni platinum bar hiyo barmaid wake wanabahati yakuolewa🤣🤣🤣Wazeee tuache utani mimi nimefolling love na muhudumu wa bar moja maarufu Hapa Dodoma jina naweka kapuni
Ila ukweli usemwe huyu muhudumu ananikosha sana wakuu namkubali mbaya
Wacha nijitoze wenda akatulia