Waliooa wahudumu wa bar waje hapa kutoa ushuhuda

Oya mwanangu 😂😂😂mtu kaoa mhudumu wa baa anaetoa tope, mndewa kaona aoe kabisa ili ale tope vizuri 😂😂😂 Mzee wa kupambania
 
Wazeee tuache utani mimi nimefolling love na muhudumu wa bar moja maarufu Hapa Dodoma jina naweka kapuni

Ila ukweli usemwe huyu muhudumu ananikosha sana wakuu namkubali mbaya

Wacha nijitoze wenda akatulia
Hushuhuda! Anyway bar ni sehemu ya kutafuta chakula tu kama kwenye ndoa, oa tuum
 
Kutokana na uhatarishi wa kazi yao, kukesha na vishauwishi vingi pamoja na ugumu wa maisha wengi huishia kuwa malaya.

Wengi pia hawawezi kubaki na msimamo hasa wakiona wenzao wanapiga ela kwa kulala na wateja.

Muulize ana muda gani hapo kazinia na alianzia wapi kabla ya hapo.

Kumbuka kuwa wewe sio wa kwanza kumuona na sio mwanaume pekee mwenye macho 😂.

Ila kila la kheri kaka
 
Kazi ya mtu sio utu wa mtu.

Kama anajielewa basi uhudumu wake wa baa ni shughuli ya kumuingizia kipato tu.

Kuna madada wa makanisani na misikitini lakini kutwa wanashinda nyumba za kulala wageni wakibadilisha mabwana.
Wangu nilimpata akiwa mhudumu wa bar..nikaoa, tuna watoto wawili, darasa la tano na mwingine miaka mitatu...sijawahi kujuta! Sina cha kumpa nitampa tu mimba ...
 
Wazeee tuache utani mimi nimefolling love na muhudumu wa bar moja maarufu Hapa Dodoma jina naweka kapuni

Ila ukweli usemwe huyu muhudumu ananikosha sana wakuu namkubali mbaya

Wacha nijitoze wenda akatulia
Yaan,
Upo kwenye HIGH VOLTAGE ⚡ yaan ni Jambo la muda lazima short itokee😊😅
Ni Kama vile kuvuka barabara ukiwa umefumba macho lazima ugongwe na magari/bajaji/ pikipiki.

Nikama kuvuta sigara kwenye kituo Cha mafuta au kwenye mitungi ya gesi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…