Tufungue kanisa basi wewe mchungaji Mimi mweka hazina maana uyo leonardo da vinci nikama mungu kwako?? KhaaaRest in Heaven my scientist
Leornardo da Vinci
Huyu hana wa kumfananisha nae hii dunia alikuwa mwamba kweli kweli
Mkuu ni nani aliwaambia mitume kwamba "Huyu (Yesu) ni mwanangu mpendwa niliyependezwa nae msikilizeni"?Naamini Mungu, Roho mtakatifu ambaye ni Roho wa Yesu Yupo bt siamini Ktk kumgawa Mungu Ktk nafsi tatu.
Mungu ni MMOJA ana nafsi Moja. Alipokuja Ktk mwili Bado Alikuwa Mungu yule yule Ktk mwili, na anapoact Ktk mwonekano wa Roho mtakatifu, ni Mungu yule yule.
Mungu ni Jina la office ya Mungu, bt Jina lake halisi tulopewa WANADAMU tumtambue, tumwamini na kumwita Anaitwa YESU KRISTO wa Nazareti.
Amen
Mungu yule yule aliye enzini ndiye huyo aliyekuwa ktk mwili Kwa KAZI ya Ukombozi.Mkuu ni nani aliwaambia mitume kwamba "Huyu (Yesu) ni mwanangu mpendwa niliyependezwa nae msikilizeni"?
Sijui kama unajua hata unachokiongea eti wakati wa Yesu hata ukristo haukuwepo wqla hakuubiri.Nadhani unaadikq hukunumelewa au umejidungq nusukaputi.Au akili yako umeifanyia brain wash kwa mudaMkuu kwa heshima kabisa sikubaliani na fikra yako kwasababu zifuatazo;
Yesu wakati wa uhai wake hakuwa mtu maarufu bali umaarufu wake umekuja miaka mingi baada ya yeye kufariki na habari zake kutangazwa. Sasa kama hakuwa maarufu ni wazi watu walimpuuzia ndio maana hata wakamuua kama waalifu wengine.
Ilihitajika awe mtu maarufu ndipo kumbukumbu zake ziwepo kwa watawala hasa picha sababu alitakiwa kulipia achorwe, kumbukumbu za Yesu zilizopo ni stori za mambo aliyofanya. Ni sawa na stori za babu wa machifu kabla ya kuja mkoloni kamwe hutaona picha zao bali stori tu.
Angalau kwa Mtume Mohammed yeye alieneza dini ya uislamu, ingekuwa rahisi sana kwa picha za Mtume kuwepo sababu yeye ndio mtu aliyekuwa nyuma ya uislamu tofauti na Yesu ambaye hata Ukristo wenyewe hakuuhubiri sababu yeye alikuwa myahudi na alitumwa kwao wayahudi.
Hii picha ni dhana tu au ndoto za wanadamu wa kipindi cha utambuko wakaamua kuileta tuitumie.
Jambo lingine ni uvaaji, huo uvaaji sio wa miaka hiyo watu wa zamani naweza kusema walikuwa rafu sana kuanzia nywele kichwani, ndevu zao hadi mavazi sasa yeye ilikuwaje akawa smart hivyo?, wakati alikuwa ni mtoto wa seremala tu? Mfano mzuri ni vikkings angalia walivyokuwa rafu na miaka waliyoishi ndio sembuse Yesu aliyeishi 2000 nyuma?.
Tubaki tu na imani ila hakuna uhalisia hapo.
Comment ndefu sanaMkuu kwa heshima kabisa sikubaliani na fikra yako kwasababu zifuatazo;

Argument ya huyu mwenzetu imenishangaza sana. Na waliomuunga mkono.Sijui kama unajua hata unachokiongea eti wakati wa Yesu hata ukristo haukuwepo wqla hakuubiri.Nadhani unaadikq hukunumelewa au umejidungq nusukaputi.Au akili yako umeifanyia brain wash kwa muda
Hivi unafahamu maana ya Ukristo au Christianity ni nini.
Ni sawa na kusema Watanzania hawakuwepo wakati Tanzania ipo.Wa kristo kirahisi sana wanaomfuata Kristo sasa itakuwaje ukristo uwe haupo wqkati wanaomfuata Kristo wapo na Kristo mwenyewe yupo.
mtafute mtu anaitwa simon kimbangu (google),huyu mtu habari zake,utakuja niambiaInawezekana walimpuuzia ila wale waliomfuata hawakumpuuzia. Ndio maana utaona miaka kadhaa kabla ya 100 baada ya kifo chake Wanazuoni kadhaa walifanya tafiti juu ya maisha yake na matendo yake. Kupitia wao tukapata vitabu mbalimbali vya injili vilivyo kwenye Bible na Marejea mbalimbali
Kuchorwa kwake inawezekana ilikua organised na wafuasi wake sitaki kuamini kama walikosa pesa za kulipa wafuasi. I concur kipindi hiko taifa lake lilikua halimtambui kabisa
Unamaanisha nini kusema Yesu hakuuhubiri Ukristo? Au kwa kumaanisha Mwenyewe ndio alikua Kristo??
Viking walikua Savages, huwezi kufananisha vikings na watu wa mataifa mengine ndio maana walikua rafurafu.
Mwenyewe Kristo alisema kwa wafuasi wake kwamba Wakiondoka wachukue nguo mojamoja maana huko waendako watavishwa na kulishwa. So inawezekana hata yeue alivishwa kumbuka walikua na mfuko wao maalumu wa kuhifadhi pesa za mahitaji ambazo zilitoka kwa waamini
Yesu alizikwa Kifahari au alizikwa kimaskini?Hayakuwa ya kifahari!! Waligawana kama dhihaka kwamba tugawane vazi la aliyejiita “mfalme wa wayahudi”
Kwamba imani SIYO facts?Hili inaaminima hivyo ila sikutaka kuligusia maana lipo zaidi kiimani kuliko kiFact
Good question.Muunganiko wa Rumi na Ukristo uliozaa roman catholic haukuufuta ukristo? Nn kilimmeza mwenzake? Nn kilibadilika? Ukristo ulifanana vp kabla ya ukatoliki? Vitu viwili vinapoungana kitu kipya huzaliwa.
Asante sana kwa kufafanua unabii wa Ufunuo 17Ile maktaba pale Vatican ina siri nyingi ambazo bado walimwengu hawajazijua na hawatozijua
Mpaka ungoje hadi kiama, utakuwa umechelewa kabisa. Soma Biblia, acha uvivu. Wanadamu wataingia mbinguni kwa sababu ya neema ya Kristo Yesu inayowawezesha kutenda matendo mema, ya haki.mimi sio mkatoliki wala msabato lakini nakataa hakuna ambae anajua kama yuko sahihi au laah tutaona tu siku ya mwisho Yesu atatumia kigezo gani kuchukua watu wake matendo au dini
Ukisoma vitabu vya HGW utashangaa sana, kwao Shetani ni bora kuliko Catholic. Wamejifanyizia siku ya Ijumamosi kua sanamu yao wanayoiabudu.
Kwa hiyo kati yenu ninyi mnaoamini X-mass birthday ya uongo na hao wanaoamini Jumamosi ndiyo siku ya ibada yao, nani yuko sahihi hapo?Yesu hakuzaliwa ndio mwezi December, tunachofanya ni Kuadhimisha siku ya kuzaliwa Yesu kristo. Kuadhimisha sio lazima iwe siku ile ile tukio fulani lilipotokea.
So Yesu aliwekwa kwenye Msalaba wa aina gani?
Je, unafahamu ni nani hasa ^mungu^ mashuhuri aliyezaliwa hiyo Desemba 25? Fumbueni macho, eti!Kwamtazamo wangu na kuuliza nikwamba Christmas imetengwa kusherehekea kuzaliwa kwa Yesu sio Tarehe aliyozaliwa Yesu.
Kilichohakika ni kwamba Yesu alizaliwa na ndicho kinachosherehekewa.
Sasa wahusika wanaosherehekea walitenga Tarehe hiyo kwasababu mbalimbali ambazo zinahitaji muda kuzijadili.
Kwa kuwa tunahakika Yesu alizaliwa na alikufa na kufufuka hivyo tunaadhimisha kuzaliwa kwake, kufufuka na kufa kwa Tarehe zinazoamuliwa kwa pamoja.
Kuna watu hawajui Tarehe zao za kuzaliwa ila wanauhakika walizaliwa na wametenga Tarehe za kusherehekea kuzaliwa kwao.
Imani na DINI ni vitu viwili tofauti.
Yohana 8:58 ^Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, Mimi Niko.^Wapi Mungu kasema mimi ndio Yesu kristo??
Nioneshe hilo andiko nipate kuliona.