Waliosambaza taarifa potofu dhidi ya Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango kukiona cha mtema kuni. Waziri Nape atoa maelekezo

Mwamba ebu kesho ibukia Kituo cha Polisi kilicho jirani na wewe ukawaulize hilo swali. Bila shaka wataufyata! Nakuaminia Mwamba!!!!
Kwa hiyo police ndio waliozusha hizo unazoita habari potofu dhidi ya Mpango?

Sawa,zilikuwa zinasemaje hizo taarifa sasa km ulipata kuwaona ama kusikia wakizisema ili nami nifahamu japo kidogo?
 
Makamu wa rais ni mtumishi wa serikali,wananchi kuhoji hawamuoni ni mahaba yao tu sio kosa.
Yuko tumemuona salama wala haina tabu.
Mnaanza kupeleka watu .
mahabusu Badala ya kutoa shukri.
 
Here we go again.
Walikuwa wanamuulizia Mpango ndio rafiki zake.
Wanauliza,kwa nini mnaficha habari za Mpango au mna njama za kumdhuru?
 
Hii sii sawa bwana nape, kwanini useme leo baada ya mzee wetu kujitokeza?! Huoni kwamba hata wewe ulikuwa na mashaka sawa na hao wengine waliothubutu kutapatapa kwa kuandika hisia zao mitandaoni??
Mbona sasa!!!....
 
Nchi hiyi hakuna haki kabisa ..wewe Nape ulisema ukweli Bashite aliteka Clauz ukawekwa basitola shingoni lero unasema watu wakione chamoto kisa Makamu hakuonekana? Sawa tesa kwazamu
 
WIZARA YA HABARI.....
WIZARA YA HABARI...
 
Hili ni tamko toka kwa waziri au Katibu mkuu wa wizara?

Hivi vitisho ndio wanadhani ni njia sahihi badala ya kutazama makosa wanayofanya wao?
 
Badala yake anadhani vitisho ndilo suluhisho.
 
Wazalendo wenye mapenzi mema waliohoji baada ya kiongozi wao kutoonekana ndio mnataka kuwachukulia hatua?
 
Wanatafuta sababu tu kwa kwa kuwa hawana vitu vya maana vya kufanya mtu upo ofisi ya Umma harafu hutaki kutoa taarifa pindi unapokua hauonekani baadae mnawatafutia watu kesi kwani ungekaa zako kijijini unalima nani angekuuliza unaulizwa kwa kuwa ni Mwajiriwa na waliokuajiri wape taarifa tu...
 
"Ukiwa na akili timamu sawasawa kabisa, kuishi Afrika ni mzigo mkubwa na tena ni mateso makali sana."
 
Kuna mjadala ameanzisha Waziri Nape kuhusu kuchukuliwa hatua kwa wanaohusika na uzushi wa kifo. Wakati vyombo vya dola vikisubiri maelekezo ya maandishi kutoka kwa Mhe. Waziri kama mlalamikaji naomba wanaofahamu sheria za nchi watuambie kama kuna kosa kisheria au nikunyume na tamaduni zetu?

Kama ni kosa kisheria itatusaidia sana kuwachukulia hatua wale wote wanaokurupuka kutoa taarifa za misiba kwenye mitaa yetu. Tuelimishane hapa tuanze kuchukua hatua.....ni vyema unapochangia ukatuwekea na sheria husika japo kwa kufanya citation itusaidie kama Taifa kudhibiti kadhia hizi.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…