Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo police ndio waliozusha hizo unazoita habari potofu dhidi ya Mpango?Mwamba ebu kesho ibukia Kituo cha Polisi kilicho jirani na wewe ukawaulize hilo swali. Bila shaka wataufyata! Nakuaminia Mwamba!!!!
Kawaulize tu wao. Wana taarifa zote na watakusaidia sana Mwamba!Kwa hiyo police ndio waliozusha hizo unazoita habari potofu dhidi ya Mpango?
Sawa,zilikuwa zinasemaje hizo taarifa sasa km ulipata kuwaona ama kusikia wakizisema ili nami nifahamu japo kidogo?
Here we go again.Kupitia mtandao wa kijamii X, Waziri Nape Nnauye amesema kuwa ameelekeza vyombo vinavyohusika kuchukua hatua za mfano dhidi ya wote waliozusha na kusambaza taarifa za uongo dhidi ya Makamu wa Rais
Nanukuu
"Pole sana Mhe Makamu wa Rais. Tumekusikia. Kwakuwa tuna sheria zinazoelekeza mitandao itumike vizuri na kwakuwa tuna Taasisi na watu wa kusimamia sheria hizi, bila kuathiri uhuru wa watu, TUTACHUKUA HATUA kutokomeza matumizi haya mabaya ya mtandao! Naamini wote watatuelewa
Nimeelekeza vyombo vyote vinavyohusika kuchukua hatua za mfano, ili tujenge jamii inayoheshimu uhuru wa kila mtu. Uhuru wowote unapoingilia uhuru wa mwingine ni uvunjaji wa sheria, hatuwezi kujenga jamii inayoona hilo ni jambo la kawaida"
Mbona sasa!!!....Hii sii sawa bwana nape, kwanini useme leo baada ya mzee wetu kujitokeza?! Huoni kwamba hata wewe ulikuwa na mashaka sawa na hao wengine waliothubutu kutapatapa kwa kuandika hisia zao mitandaoni??
Swali zuri...Kwani alishindwa nini kumwagiza msaidizi wake pale ofisini kuchapa taarifa kwa umma kwamba anasafari ya kiserikali nje ya nchi na mambo yakatulia.
Nchi hiyi hakuna haki kabisa ..wewe Nape ulisema ukweli Bashite aliteka Clauz ukawekwa basitola shingoni lero unasema watu wakione chamoto kisa Makamu hakuonekana? Sawa tesa kwazamuKupitia mtandao wa kijamii X, Waziri Nape Nnauye amesema kuwa ameelekeza vyombo vinavyohusika kuchukua hatua za mfano dhidi ya wote waliozusha na kusambaza taarifa za uongo dhidi ya Makamu wa Rais
Nanukuu
"Pole sana Mhe Makamu wa Rais. Tumekusikia. Kwakuwa tuna sheria zinazoelekeza mitandao itumike vizuri na kwakuwa tuna Taasisi na watu wa kusimamia sheria hizi, bila kuathiri uhuru wa watu, TUTACHUKUA HATUA kutokomeza matumizi haya mabaya ya mtandao! Naamini wote watatuelewa
Nimeelekeza vyombo vyote vinavyohusika kuchukua hatua za mfano, ili tujenge jamii inayoheshimu uhuru wa kila mtu. Uhuru wowote unapoingilia uhuru wa mwingine ni uvunjaji wa sheria, hatuwezi kujenga jamii inayoona hilo ni jambo la kawaida"
Aisee ilikuajeNape
Mpango ndiyo alimpa JPM kidudu cha Covid-19, asingekuwe yeye JpM angekuwepo.
Sexless anamshukuru sana Mpango
TCRAVyombo gani hvyo!? Vitaje
WIZARA YA HABARI.....Nape wajibika kwanza wewe na wenzio kwa kukaa kimya taifa likipitia taharuki kwa kutokuonekana Makamu wa Rais. Mnatafuta wa kumuwajibisha kabla ya nyie wenyewe kuwajibika. Wajibu wenu ni nini kama mtaona kuna taharuki na kukaa kimya hasa wewe Waziri wa Habari? Kutunza heshima yako iliyobaki,tulia tu na ungana na wananchi kujifunza kwa haya yaliyotokea.
Kama ni verified ndio wanaweza kumpata, kinyume na hapo hawana uwezo huo.Kuna MTU anaitwa Kasamala Hosea aliweka hadi mshumaa, yupo fb
Hili ni tamko toka kwa waziri au Katibu mkuu wa wizara?Kupitia mtandao wa kijamii X, Waziri Nape Nnauye amesema kuwa ameelekeza vyombo vinavyohusika kuchukua hatua za mfano dhidi ya wote waliozusha na kusambaza taarifa za uongo dhidi ya Makamu wa Rais
Nanukuu
"Pole sana Mhe Makamu wa Rais. Tumekusikia. Kwakuwa tuna sheria zinazoelekeza mitandao itumike vizuri na kwakuwa tuna Taasisi na watu wa kusimamia sheria hizi, bila kuathiri uhuru wa watu, TUTACHUKUA HATUA kutokomeza matumizi haya mabaya ya mtandao! Naamini wote watatuelewa
Nimeelekeza vyombo vyote vinavyohusika kuchukua hatua za mfano, ili tujenge jamii inayoheshimu uhuru wa kila mtu. Uhuru wowote unapoingilia uhuru wa mwingine ni uvunjaji wa sheria, hatuwezi kujenga jamii inayoona hilo ni jambo la kawaida"
Badala yake anadhani vitisho ndilo suluhisho.Nape wajibika kwanza wewe na wenzio kwa kukaa kimya taifa likipitia taharuki kwa kutokuonekana Makamu wa Rais. Mnatafuta wa kumuwajibisha kabla ya nyie wenyewe kuwajibika. Wajibu wenu ni nini kama mtaona kuna taharuki na kukaa kimya hasa wewe Waziri wa Habari? Kutunza heshima yako iliyobaki,tulia tu na ungana na wananchi kujifunza kwa haya yaliyotokea.
Wazalendo wenye mapenzi mema waliohoji baada ya kiongozi wao kutoonekana ndio mnataka kuwachukulia hatua?Kupitia mtandao wa kijamii X, Waziri Nape Nnauye amesema kuwa ameelekeza vyombo vinavyohusika kuchukua hatua za mfano dhidi ya wote waliozusha na kusambaza taarifa za uongo dhidi ya Makamu wa Rais
Nanukuu
"Pole sana Mhe Makamu wa Rais. Tumekusikia. Kwakuwa tuna sheria zinazoelekeza mitandao itumike vizuri na kwakuwa tuna Taasisi na watu wa kusimamia sheria hizi, bila kuathiri uhuru wa watu, TUTACHUKUA HATUA kutokomeza matumizi haya mabaya ya mtandao! Naamini wote watatuelewa
Nimeelekeza vyombo vyote vinavyohusika kuchukua hatua za mfano, ili tujenge jamii inayoheshimu uhuru wa kila mtu. Uhuru wowote unapoingilia uhuru wa mwingine ni uvunjaji wa sheria, hatuwezi kujenga jamii inayoona hilo ni jambo la kawaida"
"Ukiwa na akili timamu sawasawa kabisa, kuishi Afrika ni mzigo mkubwa na tena ni mateso makali sana."Nilishasema CCM ni kama manyani tu....kiongozi mkubwa wa umma si kama mtu binafsi eti anaingia mitini tu.....aisee hii ngozi nadhani haitakuja kuendelea....watu wana PhDs wana behavi hivi, watu wasio na elimu wata behave vipi? ....yaani unatakiwa uwe mjinga wa kutupwa usioweza kutafakari jambo lolote ndiyo unaweza kuishi kwa amani nchii hii....mbona tunarudi nyuma sana dah