Waliosema chanjo ya COVID ni njama wamejizika na kuzikwa

Na sisi ambao hatukuchoma na tunadunda unatuweka kundi gani
 
Kuna watu niwapumbavu Sana. Sasa Kama ninjama wazungu wakuuwe wewe una athari gani 😅 wangetaka kuuwa wanaweza tangu ulipoanza kuchomwa chanjo ya kwanza ukiwa hujielewi ... Unachotajiwa kujua asilimia kubwa ya maisha yako wewe mwafrica yanapiganiwa na wazungu , wahindi na wachina. Kama hujawahi kutumia dawa zao Andika hapa
 
Special military operation ya Russia ilivyoanza dhidi ya Ukraine,Covid nayo ikakata.
Wazungu sio watu,wana weza kutengeneza jambo ili kupata faida.
 
Mungu gani???,kila jamii hapa Duniani ina Mungu wake.
 
Juzi kazini kwangu alikuja mama na mumewe mama akasema mume wake ana corona walikuja holiday
That man alikuwa na Hali mbaya I got scared.
Nitaiangalia group name niwaambie vizuri majina yao.
Corona IPO bado.
 
Mkuu hivi hujiulizi kwa nini Covid 19 iliondolewa haraka haraka kwenye magonjwa hatari duniani? Haijawahi tokea ni mara ya kwanza ugonjwa hatari unaondolewa kwenye orodha haraka haraka hivyo. Fikiri nje ya box hao wazungu walikuwa na mission yao na walitimiza. Wewe endelea kusubiria tu matokeo yanaweza kutokea kwako au kwa uzao wako.
 
Juzi kazini kwangu alikuja mama na mumewe mama akasema mume wake ana corona walikuja holiday
That man alikuwa na Hali mbaya I got scared.
Nitaiangalia group name niwaambie vizuri majina yao.
Corona IPO bado.
Kwani wewe unafikiri haupo? Lakini siyo hatarishi tena na haupo kwenye orodha ya magonjwa hatarishi duniani. Mission completed!!
 
Gwajiboi na Mathanzua wakamatwe na kufunguliwa mashitaka ya upotoshaji
 
Sio kwamba wale waliochoma mkiwaona wanapeta ndio mnashindwa kujielewa na ujinga wenu mliokuwa mnasambaza kwamba watakufa muda sio mrefu
Wengine walisema waliochanja watageuka mazombi! Kuna watu ni wajinga sana wa kurithi.
 
Hujui chochote kuhusu "pandemic".
 
Umetumwaa??
 
Wengine walisema waliochanja watageuka mazombi! Kuna watu ni wajinga sana wa kurithi.
Kwanini wewe hapo si unaonekana ni zombie tu kwa sasa!!
 
Acheni sasa kuwachanja watoto wanaozaliwa chanjo zozote.
 
Mkuu nenda kafanye utafiti kwenye familia ambazo watu walichoma hizi chanjo.
Binafsi nimezika wapendwa wangu waliokuwa viranga kushupalia hizi chanjo. Wapendwa wangu wanne wamezikwa kizembe zembe tu!
 
Mandezi hamjamaliza hata miaka 5 mnaanza kuvimba hiyo kitu imeimgia kwenye DNA yako kwa hiyo madhara yake sio lazima wewe hata uzao wako watayatumikia tu.

Unakuja kuwatesa watoto watakaozaliwa kwa Upumbavu wako
 
Low IQ mbona kwa wazungu walio chomwa wamekufa wengi sana na covid tumia akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…