#COVID19 Waliosema wanatupa wiki 2 tuanze kuokota mizoga barabarani, wako wapi siku hizi?

Hao watu wana vipimo vya korona mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchawi ni mchawi tu,wakati mwingine huitaji hata maombi,ila kuselfie nae tu.
 
Sio ukoo, Kuna rafiki zangu 4 wameguswa na Corona, vitu vingine hata havihitaji u genious kujua..kwa hizi siasa za Corona zinavyo pigwa hapa nchini bado unaamini takwimu unazopewa na Serikali?

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa hajasema kwamba watu hawafi. Ila tunauliza vipi kuhusu hiyo mizoga iliyokuwa inasemwa itaokotwa barabarani lukuki? Wewe huko umeiona?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…