mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Yule hata yeye bado hajui alishindaje, kaahidiwa arateuliwa baada ya uchaguzi.
Wale ccm walijua wangempa ushindi mtu mwenye akili timamu ingekuwa ngumu kumpora, wakaona wamsukumizie mtu hata asiyejulikana ili iwe rahisi kumpora.
Yule dogo hata kura moja hakupata.
Hahaha sio wewe tu, pale hata wajumbe walishangaa.
Kwanza walikuwa wanazidiana rushwa hakuna ambaye hakutoa, subiria kampeni zianze wananchi tuanze mavuno, ndo msimu wetu huu.Kama rushwa ni kigezo kilichotumika. Tulia Ackson alitoa maharagwe?
Kwani unafikiri Magufuli anafanya kazi hii vijana wake ndio wanachambua na kuwachomeka walio wakati pochi nzuri na nono, yeye magufuli anao wakwake tu anaweka na kutoa ila kazi kubwa ni hao vijana wake, angalieni akaunti zao za benki sasa hivi zilivyo jaaUlikuwa mshindi halali kura za maoni, lakini Watawala wajuu wakakukata jina lako na kumuweka mtu wanayemtaka.
Hahaha pesa ya rushwa haziwekwi bank.Kwani unafikiri Magufuli anafanya kazi hii vijana wake ndio wanachambua na kuwachomeka walio wakati pochi nzuri na nono, yeye magufuli anao wakwake tu anaweka na kutoa ila kazi kubwa ni hao vijana wake, angalieni akaunti zao za benki sasa hivi zilivyo jaa
Mbunge yipi tena na bunge liliisha vunjwa?!Vp mbunge wa mbarali kapita
Ova
Sasa ondoja huko kama ulishinda na ukakatwa.CCM walikosea sana kutowaruhusu wagombea wakawa wanakubaliana mapema kabla ya kura za maoni maana haiwezekani tukawa wote kwenye kinyanganyilo mpaka tunapigiwa kura tukiwa watu 60 alafu mwishoni wale walioongoza wanaenguliwa na kuwatangaza wengine alafu mwishowe ukasema eti tuwaunge mkono walioteuliwa.
Ilikuwa vyema watia nia wote kukutanishwa kabla, kisha kuona niwagombea wangapi wanaweza kukubaliana kwa kujipima wao wenyewe kisha wangelibaki kama watatu hivi kila jimbo, alafu hao ndowapigiwe kura,kuliko wingi wa wagombea wote alafu mwishoni ndo uchambuzi unafanyika!.Nidahili ata upembuzi haukufanyika vizuri ukilinganisha wingi wa wagombea kila jimbo na siku zilizotumiika kufanya zoezi la kuchuja na kupatikana mgombea mmoja.
Hahaha hili ni tatizo la mfumo wa elimu nchini au tatizo la walimu au ni chanjo wapewayo na ccm?!Ukishajiunga ccm akili zako zinadumaa unakuwa mfano wa msukule.hata wakikatwa wanaona
ni sawa tu..Kisha.wanarudi.tena
kuwapigia.kampeni wale walioteuliwa badala yao
Nrekebishe basi, sio kula ni kura za maoni. Alishinda nae kaporwa kama unavolielezea
Watapata shida sana. Kura moja halafu ugombee jimbo?!Umeomwona huyo mama tuu aliyebadilishwa badala y aSegerea amepelekwa Kyerwa? hapa tuko na akina David Silinde na Katambi
Labda za utendaji wa vijiji kutoka ubunge ukawe mtendaji kijiji AIBUUsiwavunje moyo chama cha mapinduzi na serikali yake kuna nafasi nyingi ya uongozi
Hahaha hawapati hizo zimejaa tayari. Wakapambane jukwaani, nchi ya vyama vingi hii.Labda za utendaji wa vijiji kutoka ubunge ukawe mtendaji kijiji AIBU
[emoji23][emoji23][emoji23] chanjo ya kuwa wajinga...Mkikubali kuonewa mtafanya ni amini mlitoa rushwa.
Na nitashauri msiteuliwe popote.
Msiwe kama mlichanjwa chanjo ya kuwa wajinga.
Hahaha huwezi amini inaelekea walichanjwa huko.[emoji23][emoji23][emoji23] chanjo ya kuwa wajinga...
Usiwavunje moyo chama cha mapinduzi na serikali yake kuna nafasi nyingi ya uongozi
Nani hakutoa rushwa?! Rushwa zilizidiana kwa kila mgombea, wapo waliotia elfu kumi, wapo waliotoa laki, na wapo waliotoa laki tano.Kwa waliotoa rushwa?