inapendeza nyie kujadil jinsi ya kuiboresha shule lakn kwanza mnatakiwa mjue hvi,nowdays shule zimekua nyng na nzuri,so baada ya selection za serikali ndipo zile shule bora zinachukua wale wanafunzi wanzuri kiakil na kiuchumi,hapo wanabak wale watoto wetu ambao mbal na kuwa wabovu darasan pia wana background mbovu kiuchumi hvyo lengo la jesh nikusaidia jamii hvyo waliobak tunawachakua.ishu inabaki changamoto ya darasan na pia kulipa ada,hvyo unakuta mtoto anarudishwa ada,na darasan hayuko vizuri,kweli tutegemee division zip kuwa nyng?