Waliosoma Jitegemee Secondary School hebu ingieni hapa Tusalimiane

Waliosoma Jitegemee Secondary School hebu ingieni hapa Tusalimiane

karibu mkuu wash755 na asante kwa mchango wako nafikiri ulipita pale zamani maana Ntibuela na Bwenge ni wakongwe sana kwenye ile shule
Pitia pia michango ya wadau kama Mtamile na Kulya na Paw kwa ajili ya kuiboresha Jitegemee mkuu
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Paw
wash755 Hahahaha Mkuu,
Unanikumbusha Mdudu Nyoka. Aliishia kidato cha pili alikuwa anaishi Mwananyamala. Alipoacha shule alikuja kuwa mpiga debe hatimaye konda wa magari ya Mwanayamala-Posta.

Mdudu Nyoka tulianza naye pamoja pale ingawa aliishia njiani.


Mkuu hebu tembelea matokeo ya shule uone balaa kisha uje tujadili namna ya kuepusha mwendelezo wa aibu hii

 
Last edited by a moderator:
Ha ha ahaaa!!! Vijana mmenikumbusha mbali sana nami naikumbuka sana dat shule na darasa la matozi lilikuwa D1 na D2 akina Imma Korosso,Mohamed Abdul,Gabriel Musuguri,Rashid Makame akina Shikunzi Mkissi na kibao.
 
Umenikumbusha afande dmx, yan alikuwa bingwa wakutega wanafunzi wanaovua tai nje ya shule ..
 
Ha ha haaa namkmbuka sna Bwenge kuna siku niko kwenye gari la home naletwa school na yeye akiwa kwenye Bital lake OLD IZ GOLD nilikuwa sijavaa tai duuuuuh 2nilipofika mstarini akaniita mbele ya shule acha anipige bakora
 
Yan hii shule sina ham nayo, hasa nikimkumbuka mwalim kiula wa hesabu na mama Shalua mama wa Getini pale
 
currently nafundisha hapa,tuko na afande kesy mkisi kasepa.ila watu kama mzee mwakyembe bado wapo
 
inapendeza nyie kujadil jinsi ya kuiboresha shule lakn kwanza mnatakiwa mjue hvi,nowdays shule zimekua nyng na nzuri,so baada ya selection za serikali ndipo zile shule bora zinachukua wale wanafunzi wanzuri kiakil na kiuchumi,hapo wanabak wale watoto wetu ambao mbal na kuwa wabovu darasan pia wana background mbovu kiuchumi hvyo lengo la jesh nikusaidia jamii hvyo waliobak tunawachakua.ishu inabaki changamoto ya darasan na pia kulipa ada,hvyo unakuta mtoto anarudishwa ada,na darasan hayuko vizuri,kweli tutegemee division zip kuwa nyng?
 
Duuuh!!! Masai dada kweli umekaenzi kale ka wimbo ka Jitegemee I love u hahahaaa umerudi hapo?
 
Sisahau ile shule siku ya kwanza ile naanza kwenda shule tu nilikula stiki 8 za ndiyamkama, nkasema hii welcome form njuka imenianzia mm.....

Na siku niliyopigwa mpaka nikazimia na Major Mr. mashona kisa aliniona na Asha bonge white yule wa tbt. sikuhiyo ndio nilikuwa namalizia paper langu la mwisho la form2 kisa eti inasadikika alikuwa ni......... wake...
Ila yote ya yote kifo cha Mr. Mrimi mnandi ndio kilicho niacha hoi kwan jamaa alikuwa fair sana yule...
Salute kwa Mkisi Afande tall, Afande Bruno yule acejua kingereza akikukamata na kosa ukimuongelea English tu anakuacha.
Mr mtoka far a.k.a mtoka mbali. mzee masemele. Mr. sewando. Madam shaluwa. Kajimala. na watu wooote waliosoma Jiteute...
 
Hivi Bashaka (Mdudu) yupo wapi siku hizi? Jamaa alipitia kozi ya kutandika viboko yule...
 
Nakumbuka kwata la saba na jua kali na fimbo za afande Alando wapi babu ndyaa you are distabingi my ekwilibiriamu. Zile bifu za Azania zitakua zime cease nowdays Paw
 
Last edited by a moderator:
Nikukumbushe
utukutu sie wengine tulianza nao tangu kidato cha kwanza. Unakumbuka issue ya Francis Rweyemamu? jamaa alikuwa mnoko kweli tukaweka mpango na kumkamatisha na kesi ya kubaka kule Interchick? Unakumbuka Francis Tall aliyerith nafasi yake hakudumu hata miezi miwili? Unakumbuka Mwal. Mwakasege aliyekuwa ananyanyasa wanafunzi alipokuwa Discpline Master?

Daah nakumbuka hiyo michongo tuliifanya kisomi kweli kuondoa kiwingu cha kufukuzisha watu shule. Sikwambii tulifanyanye ila tulifanikisha mambo kimya kimya...

Shule ile sitaisahau ilinifundisha mengi. Unapigishwa kwata hadi unachafuka chapachapa lakini kesho lazima uje unang'ara...

Enzi za Mwakasege na kina wandwe...Bashaka na Mwiru ilikuwa balaa mimi tokea 1994-1997.pia huu mwaka f4 tulifanya vizuri kiasi...nimeishi ndani ya hii kambi ya mgulani kwa kipindi cha utoto wangu na tokea shule inaanzishwa kabla ya hapo ilikuwa kwa ajili ya wanajeshi ambao hawakupata nafasi ya kusoma o-level.nakumbuka walimu kama Shushi,Sabini,Wajadi,Bakuza aka njenje,Bashaka n.k wakiwa hapo kwa mujibu wa sheria.Enzi hizo mkisi anafundisha civics kama mwalim aliye mafunzoni mwaka 1995.Afande Ntibuela akiwa patron kabla ya Wajadi.walimu kama Afande Rite huyu alikuwa kamanda haswa mkakamavu vilivyo na miondoko yake ya kijeshi zaidi.nimekumbuka mbali sana miaka 17 iliyopita.
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Matokeo ya form six 2014

10362625_723118197755252_4964209227340446984_n.jpg
 
hahaha.. nimemic speed niliyokua naingia nayo getin na modo yangu hahaha form six 2010 HGL ma class teacher Mr kaoza.
 
miaka hii mitatu kati ya 2010-2013 shule kama imekufa vile, wale walimu wazoefu wa zaidi ya miaka 10 wote wameondoka, wengine ukikaribia kumaliza kamkataba kako unaambiwa ahsante endelea na maisha mengine.....



Nilikuwaga na mwalim wangu mmoja hivi alitufundisha commerce form one hadi four...aisee huyu mwalim alikuwa anajua kufundisha nilikuwa namkubali sana...alikuwa bongebonge kidizain alikuwa na sura ya kichaga....siku nikimona nitafurahi sana...2001-2004 ilikuwa
 
Back
Top Bottom