Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikukumbushe
utukutu sie wengine tulianza nao tangu kidato cha kwanza. Unakumbuka issue ya Francis Rweyemamu? jamaa alikuwa mnoko kweli tukaweka mpango na kumkamatisha na kesi ya kubaka kule Interchick? Unakumbuka Francis Tall aliyerith nafasi yake hakudumu hata miezi miwili? Unakumbuka Mwal. Mwakasege aliyekuwa ananyanyasa wanafunzi alipokuwa Discpline Master?
Daah nakumbuka hiyo michongo tuliifanya kisomi kweli kuondoa kiwingu cha kufukuzisha watu shule. Sikwambii tulifanyanye ila tulifanikisha mambo kimya kimya...
Shule ile sitaisahau ilinifundisha mengi. Unapigishwa kwata hadi unachafuka chapachapa lakini kesho lazima uje unang'ara...
Bwenge- dudu from no where!Bwenge - Rambirambi Trans!
Hahahaha mkuu usimchukie namna hiyo... walitufundisha kukomaa na maisha hao watu...Bwenge- dudu from no where!
miaka hii mitatu kati ya 2010-2013 shule kama imekufa vile, wale walimu wazoefu wa zaidi ya miaka 10 wote wameondoka, wengine ukikaribia kumaliza kamkataba kako unaambiwa ahsante endelea na maisha mengine.....