Waliosoma shule za kata na kuumbuliwa na kiingereza tukutane hapa

Kuna hizi nilikutana nazo kwenye safari ya ELIMU.

Mdau mmoja LINEAR PROGRAMMING jamaa akanyoosha mkono akisema Linear programming ni MIPANGO ILIYO NYOOKA. πŸ˜…
 
Kuna hizi nilikutana nazo kwenye safari ya ELIMU.

Mdau mmoja LINEAR PROGRAMMING jamaa akanyoosha mkono akisema Linear programming ni MIPANGO ILIYO NYOOKA. πŸ˜…
Nilipokuwa form One mwalimu (darasani) aliniambia march forward nikawa naangalia mbele nikidhani mwalimu alitaka niangalie mbele yaani macho yote mbele.

KIlichofuata ni kichapo, eti aliniambia nina kiburi na kwamba nimemdharau

CC Monetary doctor Mshangazi dot com
 
Nakumbuka gudila cheusi mangala tulikuwa na project bhn Ila mnaandika kwa mikono, jamaa mmoja akachora mwandiko wake unajua miandiko ya kiume ile yenyewe, sasa gudila kukuta ile karatasi nikate, nikate nasema nikate, ananiuliza wewe monetary nani kaandika hapa ?

Afu sijui alinijulia wapi, ety kapita sehemu wee monetary kaniitie yuda iskariote
 
Ni buheri wa afya kaka, hawajambo hapo home ?

Aseeh hakuwahi sikia neno wanga kabisa ? au alidhani ni kuloga!
 
Hahaha yule Cheusi Mangala ni malaya tu.
 
Mimi ni kinywa Konyagi Huwa kinakuja chenyewe kwa mtiririko kama Trump!
 
Mdogo wangu wa kike aliniuliza jina la punda Kwa kingereza Kwa kuwa simjui nikamwambia punda anaitwa Puma.

Nilijiona boya sana.
Jamani mbona Google imerahisisha ulishindwa kumwambia ngoja kidogo niende chooni nakuja kukupa jibu..tukiulizwa maswali tusioyaweza tusijibu uongo kwani muulizaji anataka kujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…