Waliosoma shule za Ufundi (Technical schools) Tukutane hapa

Huyu mwamba anaonekana anatisha sn enzi zake
 
Unakutana na mtu katoka tech anakuletea swali mpka unajiuliza mara mbili mbili huyu jamaa yupo serious na shule ila unaambiwa darasa la saba alipiga marks kibao kwenda pale.


Mnakumbwaga na nini vipanga wetu wa darasa la saba
Vipanga wamagazijuto, vipeo na vipeuo, pembe butu, sehemu guni[emoji1787][emoji1787]
 
Duh kama wewe mzee kwa miaka hiyo sijui wengine tujiitaje🙄
Wazee wastaafu labda😂😂
Nina miaka 33 (1990)
B. Miaka 12 kazini chini ya serikali ya CCM
A. Miaka 2 kazini @ private sector
Inafanya kuwa miaka 14 nikiwa mwajiriwa.

Nasubiri miaka 15 ya kuwa penshenabo...!!

Umri unaenda sanaaa, juzi tu nilikuwa mtoto..!!

#YNWA
 
Nina miaka 33 (1990)
B. Miaka 12 kazini chini ya serikali ya CCM
A. Miaka 2 kazini @ private sector
Inafanya kuwa miaka 14 nikiwa mwajiriwa.

Nasubiri miaka 15 ya kuwa penshenabo...!!

Umri unaenda sanaaa, juzi tu nilikuwa mtoto..!!

#YNWA
Form 4 nimemaliza 97, pata picha uzee nilionao, hapa nasubiri wajukuu
 
Binafsi, shule za sekondari za ufundi hapa Tanzania ni zile tano tu na zilikuwa zina workshop kamilifu haswa. Hizi za baadaye sina imani nazo. Shule hizo tano ni hizi;
1. Ifunda Tech
2. Tanga Tech
3. Mtwara Tech
4. Mazengo
5. Moshi Tech

Nje ya hizo, ni mfano wa shule za ufundi
 
Bila kuisahau Musoma tech
 
Najua engineer utakuwa unawajua akina Kameme, Mwamfupe, Tembo, Kibona n.k.
Ongeza na Tete, Ishengoma, Malima (wa Electronics), Mdushi, Muta (Wa Useremala) na wengi kibao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…