Waliotaka kumchezea Rais Samia kama Bibi yao wameufyata. Rais kamatia hapo hapo

Aliyetuletea Mama Samia Kipenzi cha watanzania, Muheshimiwa sana Magufuli,wewe utaumia bure.Fanya kazi,acha uvivu.Watu wavivu kwa kulalamika hamuwezekani.
 
Wakati huo huo, hoja zijibiwe....

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

Huo ni uchochezi na upotoshaji.Haiwezekani hilo likawepo.
 
Mkuu

Kwasababu ya IQ ndogo ya watz wengi!HUWA wanafikiri kama wewe unavyofikiri na hii inaharibu sana viongozi wetu!!

Kwa akili YAKO hao kina slaa,mwabukusi na wengineo no hatari kiasi GANI kwa mama na utawala wake kuliko hao waliovujisha mkataba wa Siri!!?

Kwanini mama ahangaike na mbwa wanao bweka BADALA ya wakuu waliowatuma yaani wavujishaji wa mkataba wa dp world!!?

We huoni lengo lao hao wanaovujisha linatimia coz wametoa kwenye reli na sasa anahangaika na watu na SIO na maswala nyeti ya msingi!!

Ccm kama chama changu kime handle vibaya hii ishu ya DP world,ilipasa kumalizwa faster KABLA ya kusambaa hivi,simple tu badili vipengele mkataba upite bila nongwa na dili limebumburuka hakuna namna kabisa!!!

NB

Mama kasikia kamaliza utata wanamiliki kwa asilimia 30 angalau ,ngoja tuone hatma
 
Ukiingia mitaa ya Usukumu Chato na kule kwa dkt Slaa utawapata hao wasiompenda Samia.Kwengine si rahisi.
Kwa upande wa Magufuli kila mmoja ana ushahidi wake,labda awe hana kumbukumbu.Kuna watu wngi tu walikufa kwa kudaiwa kodi kwa mtutu wa bunduki. Wengine walinyang'anywa mitaji yao na wamebaki wagonjwa mpaka leo.Wapo hai kama wamekufa. Raisi gani anayekuwa na roho kama hiyo halafu ukamsifia.
 
Mkataba umeleta ‘implication’ hiyo, wewe unabisha kama nani na mkataba umeshasainiwa?
 

Mtoa Mada nenda kajifunze na utueleze kwa nini DP world ndio wanakuwa wakwanza ufungua case wakiona mnataa watoke baada ya kutofikia malengo kwa nchi husika. Issue sio uwekezaji, issue ni mkataba mkiingia kichwa kichwa ndio yanakuja haya. Na ndio watu wanauliza na kupaza sauti.
Here is a list of the latest 10 cases versus DP World in
international arbitration court:

1. DP World v. Kenya (2022). The International Centre for Settlement of
Investment Disputes (ICSID) is currently hearing a case brought by
DP World against Kenya. DP World is seeking damages for alleged
breaches of contract and expropriation by Kenya.

2. DP World v. Ethiopia (2022). The ICSID is also currently hearing a
case brought by DP World against Ethiopia. DP World is seeking damages
for alleged breaches of contract and expropriation by Ethiopia.

3. DP World v. Djibouti (2021). The ICSID dismissed a case brought by
DP World against Djibouti. DP World was seeking damages for alleged
breaches of contract and expropriation by Djibouti.

4. DP World v. Pakistan (2020). The ICSID dismissed a case brought by
DP World against Pakistan. DP World was seeking damages for alleged
breaches of contract and expropriation by Pakistan.

5. DP World v. India (2019). The ICSID dismissed a case brought by
DP World against India. DP World was seeking damages for alleged
breaches of contract and expropriation by India.

6. DP World v. Argentina (2018). The ICSID dismissed a case brought
by DP World against Argentina. DP World was seeking damages for
alleged breaches of contract and expropriation by Argentina.

7. DP World v. Chile (2017). The ICSID dismissed a case brought by
DP World against Chile. DP World was seeking damages for alleged
breaches of contract and expropriation by Chile.

8. DP World v. Uruguay (2016). The ICSID dismissed a case brought by
DP World against Uruguay. DP World was seeking damages for alleged
breaches of contract and expropriation by Uruguay.

9. DP World v. Peru (2015). The ICSID dismissed a case brought by
DP World against Peru. DP World was seeking damages for alleged
breaches of contract and expropriation by Peru.

10. DP World v. Brazil (2014). The ICSID dismissed a case brought by
DP World against Brazil. DP World was seeking damages for alleged
breaches of contract and expropriation by Brazil.

It is important to note that these are just a few of the many cases
that DP World has been involved in. DP World is a major player in
the global port industry, and it has been involved in a number of
disputes with governments around the world.
These disputes have often been complex and have involved significant
financial stakes.

The cases listed above are still ongoing, and it is not yet clear
how they will be resolved. However, they provide a glimpse into
the challenges that DP World faces as it operates in a number of
different countries.

Case😀P World Limited v. Kingdom of Belgium (ICSID Case No. ARB/17/21)
 
Havitatokea Tanzania
 
Nenda zako .Kumbe unazungumzia implication. Huo ni uoni wa kijinga.
Ku-‘imply’ ndio kusema kwenyewe huko, au tatizo lugha? Mtu anaposaini mkataba ambao hausemi utaisha lini, na hausemi anapewa kwa gharama gani ya pesa, implication yake ni kwamba amegawa bire, au aumeuza ila pesa kachukua yeye kisiri siri, ku-‘imply’ ndio kisema kwenyewe huko
 
Mheshimiwa Rais wetu ametoa tamko jema sana!! Tatizo ni nyie mbwa koko mnaompotosha ili matumbo yenu yajae.

Mama anakwenda vizuri na kama ataendelea kutowasikiliza nyie Mbwa koko Taifa letu atalivusha salama
 
huyo samia anakulipa sh ngapi kwanza mbona kama kila saa mk**ndu wako unapwitapwita.huo mwenge unaopumbaza akili za watanganyika ipo siku utaishiwa nguvu rais gani asie shauriwa.kuna amani gani wakati watu wana lala na njaa,mali za nchi zinapigwa mnada.serikali inatoa elimu ya bure ambayo haina chochote zaidi ya kuandaa kizazi cha wasomi wapumbavu.kinachotokea kenya ipo siku kitatokea maana kizazi cha kila kitu ndio baba tusivunje amani ya inchi kinaelekea ukingoni
 
Ile ngozi ngumu alivua?
 
Endelea kumshauri akamatie hapo hapo. Mungu naye atakamata moyo wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…