Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Utacheka sana mkuu!..Kupata vyeo vya hisani nayo ni kupaa?! Nimecheka vibaya.[emoji23]
We baki hapo hapo ukisubiri cheo cha kugombea hadi unaingia kaburini hutaki ona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utacheka sana mkuu!..Kupata vyeo vya hisani nayo ni kupaa?! Nimecheka vibaya.[emoji23]
Ile misafara inaishaNimepitia mitandao ya kijamii ya walioteliwa wote, wameonyesha furaha na shukrani.
Makonda ni kama kichwa gia zinaruka, mpaka sasa haamini kama hayupo jikoni, kapelekwa akakusanye kuni, hajatoa neno la shukrani.
Hakuna kosa mkuu atamshukuru siku ya kuapishwa!Nimepitia mitandao ya kijamii ya walioteliwa wote, wameonyesha furaha na shukrani.
Makonda ni kama kichwa gia zinaruka, mpaka sasa haamini kama hayupo jikoni, kapelekwa akakusanye kuni, hajatoa neno la shukrani.
Au Kupaa kikwenu ni kushushwa Daraja.anazidi kupaaa
Sijawahi hata kutamani kugombea nafasi yoyote ya kisiasa, lakini huwezi kuniambia cheo Cha hisani ni kupaa.Utacheka sana mkuu!..
We baki hapo hapo ukisubiri cheo cha kugombea hadi unaingia kaburini hutaki ona.
Maandamano ya Arusha yalitishia Usalama wa taifa
BoringPUTIN BOMAYE
Yoda eskarioti furahia sikukuu yakoBoring
Chawa kama chawa chawani[emoji28]Nimepitia mitandao ya kijamii ya walioteliwa wote, wameonyesha furaha na shukrani.
Makonda ni kama kichwa gia zinaruka, mpaka sasa haamini kama hayupo jikoni, kapelekwa akakusanye kuni, hajatoa neno la shukrani.
Makonda anataka UKATIBU MKUU CCMNimepitia mitandao ya kijamii ya walioteliwa wote, wameonyesha furaha na shukrani.
Makonda ni kama kichwa gia zinaruka, mpaka sasa haamini kama hayupo jikoni, kapelekwa akakusanye kuni, hajatoa neno la shukrani.
Labda moyo wa mamayoEndelea kuweweseka na kuhangaika na mheshimiwa Makonda wakati akiendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya watanzania
Atakaye shukuru ndiye atapata hata kidogo kilicho halali yake.Nimepitia mitandao ya kijamii ya walioteliwa wote, wameonyesha furaha na shukrani.
Makonda ni kama kichwa gia zinaruka, mpaka sasa haamini kama hayupo jikoni, kapelekwa akakusanye kuni, hajatoa neno la shukrani.
Mtashaa... Sukumagang imepelekwa kwa wanaApolo huko. CCM imebaki na wenye chama chao.Nakumbuka toka anafariki jiwe ulikuwa unakataa viuno eti sukuma gang inakomeshwa!
.
Ila matokeo yake ni tofauti kabisa! Sabaya soon anakuja kuwapelekea moto tena.
Hadi muda huu hakuna mwenezi mwingine aliyeteuliwa, hivyo tambua Makonda bado ni mwenezi na mkuu wa mkoa wa ArushaNimepitia mitandao ya kijamii ya walioteliwa wote, wameonyesha furaha na shukrani.
Makonda ni kama kichwa gia zinaruka, mpaka sasa haamini kama hayupo jikoni, kapelekwa akakusanye kuni, hajatoa neno la shukrani.
Na mkeka ujao wa wakuu wa mikoa bashite njee dadeki!Nimepitia mitandao ya kijamii ya walioteliwa wote, wameonyesha furaha na shukrani.
Makonda ni kama kichwa gia zinaruka, mpaka sasa haamini kama hayupo jikoni, kapelekwa akakusanye kuni, hajatoa neno la shukrani.
KabisaaaNa mkeka ujao wa wakuu wa mikoa bashite njee dadeki!
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app