Walioteuliwa na SSH wote wamemshukuru kupitia mitandao ya kijamii, Makonda pekee ndiye kama amegoma kushukuru kwa uteuzi

Kupata vyeo vya hisani nayo ni kupaa?! Nimecheka vibaya.[emoji23]
Utacheka sana mkuu!..

We baki hapo hapo ukisubiri cheo cha kugombea hadi unaingia kaburini hutaki ona.
 
Nimepitia mitandao ya kijamii ya walioteliwa wote, wameonyesha furaha na shukrani.

Makonda ni kama kichwa gia zinaruka, mpaka sasa haamini kama hayupo jikoni, kapelekwa akakusanye kuni, hajatoa neno la shukrani.
Ile misafara inaisha
 
Hakuna kosa mkuu atamshukuru siku ya kuapishwa!
 
Utacheka sana mkuu!..

We baki hapo hapo ukisubiri cheo cha kugombea hadi unaingia kaburini hutaki ona.
Sijawahi hata kutamani kugombea nafasi yoyote ya kisiasa, lakini huwezi kuniambia cheo Cha hisani ni kupaa.
 
Nimepitia mitandao ya kijamii ya walioteliwa wote, wameonyesha furaha na shukrani.

Makonda ni kama kichwa gia zinaruka, mpaka sasa haamini kama hayupo jikoni, kapelekwa akakusanye kuni, hajatoa neno la shukrani.
Chawa kama chawa chawani[emoji28]
 
Nimepitia mitandao ya kijamii ya walioteliwa wote, wameonyesha furaha na shukrani.

Makonda ni kama kichwa gia zinaruka, mpaka sasa haamini kama hayupo jikoni, kapelekwa akakusanye kuni, hajatoa neno la shukrani.
Makonda anataka UKATIBU MKUU CCM
 
Nimepitia mitandao ya kijamii ya walioteliwa wote, wameonyesha furaha na shukrani.

Makonda ni kama kichwa gia zinaruka, mpaka sasa haamini kama hayupo jikoni, kapelekwa akakusanye kuni, hajatoa neno la shukrani.
Atakaye shukuru ndiye atapata hata kidogo kilicho halali yake.
 
Nakumbuka toka anafariki jiwe ulikuwa unakataa viuno eti sukuma gang inakomeshwa!
.
Ila matokeo yake ni tofauti kabisa! Sabaya soon anakuja kuwapelekea moto tena.
Mtashaa... Sukumagang imepelekwa kwa wanaApolo huko. CCM imebaki na wenye chama chao.

Mtakoma kuringa safari hii....

Sabaya akirudi si ndio mnazidi kudedishwa? Au Sabaya naye ni ngosha?
 
Nimepitia mitandao ya kijamii ya walioteliwa wote, wameonyesha furaha na shukrani.

Makonda ni kama kichwa gia zinaruka, mpaka sasa haamini kama hayupo jikoni, kapelekwa akakusanye kuni, hajatoa neno la shukrani.
Hadi muda huu hakuna mwenezi mwingine aliyeteuliwa, hivyo tambua Makonda bado ni mwenezi na mkuu wa mkoa wa Arusha
 
Nimepitia mitandao ya kijamii ya walioteliwa wote, wameonyesha furaha na shukrani.

Makonda ni kama kichwa gia zinaruka, mpaka sasa haamini kama hayupo jikoni, kapelekwa akakusanye kuni, hajatoa neno la shukrani.
Na mkeka ujao wa wakuu wa mikoa bashite njee dadeki!

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom