Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

Sijui huko huwa anapambana vipi anajua ye mwenyewe, kazi anatafutiwa ila anajizungushaaa visingizio kibao.....last born wengi wana akili zao wanazojua wao.

Last born wangu hapa nikimwambia kalale chumbani kwenu ananijibu "kabati la chumbani kwetu ni dogo" na haendi sasa kabati na kulala vinahusiana nini
Mi pia ni last born.

Mnatusingizia vingi jamani 😅

Reality is blurred kwa mshkaji.
 
Aisee kuna shida ipo ndani msikilizeni. kila mtu anapenda kuwa karibu na ndugu zake ila sasa kuna mambo ya ndani ndio yanafanya mtu unachukua maamuzi magumu
Pengine watu tunatofautia sana kuhusu ku-deal na ndugu wakorofi. Mimi nilidhani njia nzuri zaidi ni kuwaweka mbali kwenye maisha yako ila wajue ukiko. Na ikiwa kwa bahati nzuri una mafanikio kuliko wao basi watakuwa wnajisikia vibaya sana. Hili la kupotea wewe siyo jambo jema hata kidogo na unakuwa unaadhibu watu wengine kama wazazi, marafiki na jamaa ambao hawana hatia. Na kingine: hivi mtu unaweje kutukuwa na hamu ya kuona ulipozaliwa na kukulia?
 
Alipotea kwenye mazingira gani? Kama una muda tunaomba maelezo kwa kirefu.
Huyu Jamaa alikua anakaa tangi bovu that time na alikua ameoa na watotoalikua kaoa mchaga...jamaa katoka job fresh kashuka kituoni pale tangi bovu...kapita duka la mangi kapiga bia 2 tatu...kaaaga mida ya saa mbili usiku anaenda home...!
Hakuonekana tena kesho ndugu zake wakaanza msako maana walikua na hela kweli..ndio jamaa wakasema bana alipita hapa jioni akanywa ila hakua sawa alikua kama kachanganyikiwa hivi...akaondoka...hapo ni dukano ndio wanasema hivyo...!
Jamaa wengine wakasema nao waliuutana nae njiani nae kama kachanganyikiwa hv anaongea mwenyewe
Basi ndugu wamemtafuta sana na wana uwezo aisee hii kitu usiiombe kabisa...ikukute..ile familia yake mke alirudi moshi..watoto wako kwa baba wakubwa na wadogo...mpaka wamekua watu wazima!
 
Inasikitisha mno. Ilikuwa kipindi hakuna social media kama sasa nini?
 
Inasikitisha mno. Ilikuwa kipindi hakuna social media kama sasa nini?
Zilikuwepo emails na hizi hi5 na nyingine chache bro wa jamáa aliniambia walienda kwa mganga mmoja miaka hiyo ya early 2000..wakawekewa video hv ikaonekana jamaa alitekwa na watu kama sita hv wakampakia kwenye gari hadi kwenye lile daraja la treni la kibaha( intersection ya lami na train) wakamchinja wakamtupa! Hapo kwa mganga wameenda that tyme sumbawanga mganga wa bei kweli kweli..na wanaona live kwenye tv zile za uchawi (kuna watu wanazijua humu) yule bro anakwambia walirudi hadi yale maeneo tafuta mno wapi....aisee huyu MUNGU tumuombe sana...ndugu au mtoto asipotee inaumiza mno....ntawapa kisa cha jamaa zangu wawili walipotea kipindi cha mkuu( jiwe) na jinsi familia inavyohangaika
 
Kuna mtu akiwa mtoto alikimbia home tangu miaka ya 60+ hajaonekana hadi leo. Chanzo cha kukimbia alikuwa anaogopa kupigwa na baba kuna kifaa alipoteza.
 
Zilikuwepo emails na hizi hi5 na nyingine chache bro wa jamáa aliniambia walienda kwa mganga mmoja miaka hiyo ya early 2000..wakawekewa video hv ikaonekana jamaa alitekwa na watu kama sita hv wakampakia kwenye gari hadi kwenye lile daraja la treni la kibaha( intersection ya lami na train) wakamchinja wakamtupa! Hapo kwa mganga wameenda that tyme sumbawanga mganga wa bei kweli kweli..na wanaona live kwenye tv zile za uchawi (kuna watu wanazijua humu) yule bro anakwambia walirudi hadi yale maeneo tafuta mno wapi....aisee huyu MUNGU tumuombe sana...ndugu au mtoto asipotee inaumiza mno....ntawapa kisa cha jamaa zangu wawili walipotea kipindi cha mkuu( jiwe) na jinsi familia inavyohangaika
Asante sana mkuu kwa ku-share hizi story.
 
Niliiona kwenye taarifa ya habari, mama yake nilimuonea huruma sana. Alikuwa ametokea mtera nahisi
Naam huyu hapa
1712477195152.jpg
 
Maisha ndugu yangu. Kuna watu wanakera sana bora kuwa nao mbali wasipate taarifa zako na wewe usipate za kwao.
Pamoja na kero zozote kutoka kwa ndugu wa karibu wanaosababisha frustrations za maisha usifikirie kupotea au kuwa mahali pasipojulikana.

Uamuzi wa namna hiyo utaacha maumivu makubws kwa wapendwa wako haswa mama na mtoto.

Muhimu ni kujitenga nao na mambo yao na kuacha kuchangamana nao, chagua wachache miongoni mwa walio wema kwako hao ndio wawe karibu yako na wajue taarifa zinazokuhusu.

Pole kwa makwazo hayo!
 
Zamani nilienda Nairobi na maza, nilikua mdogo kiaina
Maza akaniweka kitandani yeye akaenda kuoga, mlango ukafunguliwa akaingia chokoraa, nikaanza kulia sababu alikua anatisha.
Akanibeba anatembea kwa kunyata kuondoka na mimi.

Mama bila atoke ajue shida nini yeye kang'ang'ana kuniambia 'Nyamaza nakuja sasahivi'
Chokoraa anashuka na mimi kwenye ngazi ndo mama akatuona nahisi alivyonikuta sipo chumbani aliweuka akaanza kunitafuta.

Ningeibiwa, Mama angu angekua na majonzi leo ya kupotelewa na mtoto.

Pole sana
 
2006 Kipindi Nimemaliza kidato cha nne nilienda moshi kwa demu wangu nilikaa wiki 4 sionekani nyumbani nimetafutwa kote sionekani,ndugu wamenitafuta hospital zote za dar sionekani wakajua nimekufa.
Wakati nipo moshi mjini nakula bata na uyu demu kumbe kuna jirani aliniona ikabidi apige simu nyumbani kuwa ameniona! ndugu wakamwambia mpeleleze mpaka anapokaa,kweli akajua ninapokaa akawapa taarifa nyumbani siku ile ile bonge moja la crew la watu 8 wametoka dar mpaka moshi.
Sielewi ili wala lile ghafla nikasikia mlango ukigongwa kwenda kufungua nakutana na ndugu zangu,aisee nilichezea kichapo sio cha Dunia hii nilikula bakora nilichezea mbata balaa, kuna jamaa alinipa hifadhi kwake nae akajumuishwa katika kichapo tukachukuliwa msobe msobe mpaka moshi police .
ila uyo demu ndio mama chanja wangu nimemuoa
nimecheka jamani na imagine walivyopata hasira baada ya kujua umewatesa kumbe unalala juu ya kinena kwa raha zako
 
Back
Top Bottom