Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

Ni mwaka wa pili Sasa, yangu mdogo wangu wa dam kuto weka ktk mazingira ya kutatanisha
 
Daa broo wangu kapoteaga asee,, alikuaga tanga saiz inasemekana alienda mgodini manyara, anaitwa INOCENT FATAEL NDOSI
Bro, hata mimi Nina bro wangu aliondoka tangu 2001 hatukujua Yuko wapi Hadi 2017 tulipigiwa simu na mtu kuwa ndugu yetu Yuko kibaigwa(wilaya ya kongwa) nilimfuata nikamrudisha nyumbani lakini alikaa mwezi Mmoja tu akatoroka kuanzia hapo hatujawahi kumuona tena. Huwa akionwa na mtu yoyote anamjua anakimbia,. Kiufupi hataki ndugu zake tujue Yuko wapi na hataki kurudi nyumbani.
Siyo kwamba amepatia maisha ila ana maisha magumu sana.
Hili huwa linatuimiza sana ndugu zae ila mama ndiye huwa anaumia zaidi.
 
60% wanopetea wanatekwa kwa sababu mbalimbli...either uhalifu,dhulma au visasi.

Ndo mana kesi kama hzo polisi huwa hawasumbuki nazo...
 
Yuko chimbo anawazoom tu.

Pengine make anapenda maisha ya kulelewa

Huwa najiuliza hivi: Iweje uwe au mtu awe na mahusiano na mtu ambaye hujiulizi yeye hapati shida hasa za kifamilia ndugu na jamaa wao hawafikwi na shida ambayo mtu aweza kufunga safari akawajulie hali nduguze?

Au kuhoji wewe kwenu shida za pamoja kwenu hakuna au kututambulisha flani ni ndg yangu wa karibu au kaka’angu we mbona hamna hilo?

Lakini kingine huwa najihoji kwa nini ukae na mtu ambae miaka yote ye yupo tu hujui kwao wala Ndg zake?

Mimi huwa siwezi lazima ukaribu ukianza tujuane vizuri
 
Kenya kuna msanii alikua anaitwa Czar aliimba wimbo "Amka Ukatike" naye alipotea miaka ya 2000 nae hajawahi kuonekana hadi leo. Baba ake bado ana matumaini ya kumuona tena mwanae siku moja.

MUNGU AWATIE NGUVU WOTE MLIOPOTELEWA NA WAPENDWA WENU.
 
H
Kwa kweli sitakagi hata kuangalia picha zake... Inaniuma mpaka kesho, pia inenifanya kukata tamaa kabisa kuhusu ndugu, wajonba, mashangazi nk. Yani hawana habari
Hao hao ndugu ndio wamenifanya hata Mimi nimepotea since 2016 wanajua nilipo ila sitaki mazoea ni mama mzazi tu ndio namtumia nauli anakuja kunisalimia
 
Kuna video niona leo huko hungumalwa Mwanza jamaa amempata mwanae alieibiwa akiwa na miezi 2. Inahuzunisha sio siri.
 
Kipindi kile Mkuu wa mkoa Makala aliposema ukimkosa mwanao politics nenda hospitali. Kipindi hiki kulikuwa na panyaroad sana

Kuna mdogo wangu mtoto wa baba mkubwa alipotea. Tulizunguka hospitali zote Dar, mochwari ndo usiseme. Tukaenda polisi Ostrrbay na vituo vingine wapi.

Kijana hakuonekana kwa siku tatu. Kila unapopita walimuona majuzi yake. Tukajua tu huyu sio kawaida take kipotea atakuwa amekufa

Siku ya nne huyo karudi yuko job hana hili wala lile. Napigiwa simu namfata namuliza kwa nini hukuwa unapatikana kwa siku 3? Ananijibu "mwanaume hatafutwi, umuliizaje mwanaume alikuwa wapi?"

Yule dogo no kum* kweli niliapa hata apotee miaka 20 simtafuti. Tutakutana Rombo kwenye matukio
 
Pamoja na kero zozote kutoka kwa ndugu wa karibu wanaosababisha frustrations za maisha usifikirie kupotea au kuwa mahali pasipojulikana.

Uamuzi wa namna hiyo utaacha maumivu makubws kwa wapendwa wako haswa mama na mtoto.

Muhimu ni kujitenga nao na mambo yao na kuacha kuchangamana nao, chagua wachache miongoni mwa walio wema kwako hao ndio wawe karibu yako na wajue taarifa zinazokuhusu.

Pole kwa makwazo hayo!
Asanteee...ila.ndugu zangu hawana tatizo kabisa...ni watu wengine tu😅
 
Zamani nilienda Nairobi na maza, nilikua mdogo kiaina
Maza akaniweka kitandani yeye akaenda kuoga, mlango ukafunguliwa akaingia chokoraa, nikaanza kulia sababu alikua anatisha.
Akanibeba anatembea kwa kunyata kuondoka na mimi.

Mama bila atoke ajue shida nini yeye kang'ang'ana kuniambia 'Nyamaza nakuja sasahivi'
Chokoraa anashuka na mimi kwenye ngazi ndo mama akatuona nahisi alivyonikuta sipo chumbani aliweuka akaanza kunitafuta.

Ningeibiwa, Mama angu angekua na majonzi leo ya kupotelewa na mtoto.
Ulijuaje kama unaibiwa? na mbona hukusema naibiwa ?
 
Back
Top Bottom