Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

Vipi wewe ni mwenyeji wa chamakweza? Naweza pata ekari hata 3




kuna hiki kiwanja hapa kipo... karibia na kitunda, kivule kilomita chache ukiwa unatokea banana.... kina ukubwa wa MITA 25*30 kinahitaji 25m tu...!​



urefu wake ni kuanzia hiyo nguzo u nayo iona hadi ile nguzo ya juu kule ya umeme... ukipenda kwenda kukitazama tuwasiliane 0759170794
 
Baba mdogo alipotea nikiwa hata sijazaliwa. Alikuwa mfanyabiashara uganda wakati wa vuguvugu ya vita ya kagera. Wenzake wakamwambia tuondoke yeye akawambia watangulie na mkewe na mtoto wake mdogo yeye atafuata baada ya siku mbili. Hiyo ndio ilikuwa account yake ya mwisho.
He never made it. Wakasubiri na kusubiri afike bukoba lakini wapi.
Waka assume alikufa maana ilikuwa kawwida watu kuuawa zama hizo.
Na jrani yetu alipotea over 20 years ago. Alikuwa amepanda basi likasimama maeneo ya manyoni kuchimba dawa yeye wakati abiria wanarudi kwenye basi hakuwepo wakaanza kumtafta lakini hakupatikana.
Mama yake alikufa kwa uchungu sana maana she 2as never the same again.
Familia yake alikiwa na mke mwenye ujauzito alikuja olewa tena.
 
Pakashume wewe mla panya mkubwa😑
 
Mjomba wangu alipotea tangu 2019 au 2020(kipindi Kuna wimbi la watu kupotea) alitafutwa sana.
Kwa kuwa mdogo wake (mjomba mdogo) ni askari mwenye kacheo alienda mkoa alikopotelea kufanya zoezi la kumtafuta kwa kuhusisha akari. Haikuchukua muda akajua ndugu yake alipotezwa kwa kuuliwa na askari. Askari waliomuua akawajua live bila chenga, alivyowajua tu uncle akawa very calm, akaondoka zake kurudi kituoni kwake kimya kimya in a peaceful way kana kwamba hajui chochote. Mpaka leo hajawahi kuchukua hatua yoyote.

Sadly yule uncle aliyepotea hakuwa na elements za siasa. Alikuwa ni mraibu wa pombe na kamari.
 
Naukumbuka huu uzi.ilikua ni dodoma si et?
 
🀦🀦🀦🀦🀦
Zamani nilienda Nairobi na maza, nilikua mdogo kiaina
Maza akaniweka kitandani yeye akaenda kuoga, mlango ukafunguliwa akaingia chokoraa, nikaanza kulia sababu alikua anatisha.
Akanibeba anatembea kwa kunyata kuondoka na mimi.

Mama bila atoke ajue shida nini yeye kang'ang'ana kuniambia 'Nyamaza nakuja sasahivi'
Chokoraa anashuka na mimi kwenye ngazi ndo mama akatuona nahisi alivyonikuta sipo chumbani aliweuka akaanza kunitafuta.

Ningeibiwa, Mama angu angekua na majonzi leo ya kupotelewa na mtoto.
 
Nilidhani kiwanja kimepotea mkuu
 
2006 Kipindi Nimemaliza kidato cha nne nilienda moshi kwa demu wangu nilikaa wiki 4 sionekani nyumbani nimetafutwa kote sionekani,ndugu wamenitafuta vituo vyote vikubwa vya police sionekani,radio free africa mpaka ITV kile kipindi cha matukio,hospital zote za dar sionekani wakajua nimekufa.
Wakati nipo moshi mjini nakula bata na uyu demu kumbe kuna jirani aliniona ikabidi apige simu nyumbani kuwa ameniona! ndugu wakamwambia mpeleleze mpaka anapokaa,kweli akajua ninapokaa akawapa taarifa nyumbani siku ile ile bonge moja la crew la watu 8 wametoka dar mpaka moshi.
Sielewi ili wala lile ghafla nikasikia mlango ukigongwa kwenda kufungua nakutana na ndugu zangu,aisee nilichezea kichapo sio cha Dunia hii nilikula bakora nilichezea mbata balaa, kuna jamaa alinipa hifadhi kwake nae akajumuishwa katika kichapo tukachukuliwa msobe msobe mpaka moshi police .
ila uyo demu ndio mama chanja wangu nimemuoa
 
Huyo Dingi jinga sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…