Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Acha bwana.. Nimepotea ndio maana ata hamnitafuti.Labda awe mtoto wako,mme au mzazi ndio inauma wengine wapote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha bwana.. Nimepotea ndio maana ata hamnitafuti.Labda awe mtoto wako,mme au mzazi ndio inauma wengine wapote
Alipatikana, simu tu ilizingua. Ndo maana nakwambia Hawa washeku wakikosa watoto wao wanachangangikiwa aisee.DALALI MKUU ni mshaka wa kaa kabisa. Aledisha kaa toka 2017, usikute ni yeye huyo kama yako.
Namuonea huruma mama, mtoto gani hajali mama yake anapitia sonona. Mzazi anaona amefeli kweli
Kwa mtu aliyewah kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu aje atoe experience. Nikiona mtu anatangaza kupotelewa na ndugu ua nashikwa na uchungu sana mpaka najiuliza nduguze hali ikoje.
Kweli kaka ni huzuni kubwa sanaJambo gumu sana, ni maombi yangu Mungu anipe Neema nisipitie hiyo experience.
We utarudi tu kichaa kikiponaAcha bwana.. Nimepotea ndio maana ata hamnitafuti.
Kaeni vizuri na kaka yenu aseme ukweliBraza alipotelewa na mtoto, wa kiume akiwa na 5 years. Mpaka leo ni zaid ya 17 years hajawah patikana wala kujulikana alipo
BangiBen Saanane alipotea mpaka leo hajaonekana tena!
Umepanga ukifa uzikweje? Wapi? Maana ndio la muhimu.hapana, niliwaambia siku nikiondoka sitokaa nirudi tena hawakuamini. sasa wanateseka sana kunitafuta ila ndio hivyo
Umepanga ukifa uzikweje? Wapi? Maana ndio la muhimu.
Ahaha umewaza siko kabisa chief. Ni mtu wa kawaida kabisaa hana maisha haaayo ni humble person kaz yake ni driver wa halmashauri..hana biashara kusema kafanya kafara. Ni mtu wa average kabisa. Na hii kitu mpaka leo huwa inam stress sana kuna muda unaona kabisa hayuko sawaKaeni vizuri na kaka yenu aseme ukweli
Pole sasa nini shida?? Au kama kawaida ndugu?Isingekuwa kazi ya kuajiriwa na serikali ningepotea wasinione kamwe.
Sina raha na maisha.
Alikuona, akakupeleleza na ndugu wakafika siku hiyohiyo.2006 Kipindi Nimemaliza kidato cha nne nilienda moshi kwa demu wangu nilikaa wiki 4 sionekani nyumbani nimetafutwa kote sionekani,ndugu wamenitafuta vituo vyote vikubwa vya police sionekani,radio free africa mpaka ITV kile kipindi cha matukio,hospital zote za dar sionekani wakajua nimekufa.
Wakati nipo moshi mjini nakula bata na uyu demu kumbe kuna jirani aliniona ikabidi apige simu nyumbani kuwa ameniona! ndugu wakamwambia mpeleleze mpaka anapokaa,kweli akajua ninapokaa akawapa taarifa nyumbani siku ile ile bonge moja la crew la watu 8 wametoka dar mpaka moshi.
Sielewi ili wala lile ghafla nikasikia mlango ukigongwa kwenda kufungua nakutana na ndugu zangu,aisee nilichezea kichapo sio cha Dunia hii nilikula bakora nilichezea mbata balaa, kuna jamaa alinipa hifadhi kwake nae akajumuishwa katika kichapo tukachukuliwa msobe msobe mpaka moshi police .
ila uyo demu ndio mama chanja wangu nimemuoa
Kama kawaida nini[emoji28]Pole sasa nini shida?? Au kama kawaida ndugu?
Yupo sahihi Lakin. Mwanaume hatafutwi. Na pia hapaswi kujua kazaliwa linKipindi kile Mkuu wa mkoa Makala aliposema ukimkosa mwanao politics nenda hospitali. Kipindi hiki kulikuwa na panyaroad sana
Kuna mdogo wangu mtoto wa baba mkubwa alipotea. Tulizunguka hospitali zote Dar, mochwari ndo usiseme. Tukaenda polisi Ostrrbay na vituo vingine wapi.
Kijana hakuonekana kwa siku tatu. Kila unapopita walimuona majuzi yake. Tukajua tu huyu sio kawaida take kipotea atakuwa amekufa
Siku ya nne huyo karudi yuko job hana hili wala lile. Napigiwa simu namfata namuliza kwa nini hukuwa unapatikana kwa siku 3? Ananijibu "mwanaume hatafutwi, umuliizaje mwanaume alikuwa wapi?"
Yule dogo no kum* kweli niliapa hata apotee miaka 20 simtafuti. Tutakutana Rombo kwenye matukio
Analiwa na MwiguluUnaliwa mkuu [emoji23][emoji23]
Wazazi wake wanajua waishi mtera huko sisi hapa mtaani kwetu hapa hatukujuaDuuh watu wana siri yaani jamaa ni polisi na wazazi hawajui kuwa ni polisi
Utibeli ndo nini? In english nitaelewa vizuriKaribu kwenye Utibeli. Utakuwa mtu tofauti kabisa. Na utapenda kila mtu na maisha.
Pole sana Demi
Pole aseee, ukikaa karibu na ndugu ni ishu, yani raha ya ndugu muwe mbali mnakutana mara chache....pole mkuuKama kawaida nini[emoji28]