TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
Mavazi yako ndani ya desturi siyo Tamaduni na Mila,Tamaduni na mila ni mambo ya Makabila ila desturi ni kwa Taifa zima.Sasa mavazi yampasayo mwanaume na mwanamke imeyataja kuwa ni yapi iwapo kila jamii ina mila na tamaduni zake za mavazi?
Kwani Desturi ya watanzania mavazi yampasayo mwanaume ni yapi?Sasa mavazi yampasayo mwanaume na mwanamke imeyataja kuwa ni yapi iwapo kila jamii ina mila na tamaduni zake za mavazi?
OK, Kama suala ni desturi na jamii imeruhusu wavae kwann inaleta shida? Au jamii nayo inapinga wasivae?Unapoongelea mila maana yake ni kabila.
Sema endapo desturi yetu ingeruhusu mwanaume kuvaa sketi,Yes wanaume tungevaa kwasababu ndiyo desturi yetu na kusingekuwa na tatizo
Vipi kuhusu hereni,zilikuwepo hiyo karne? utasema ni sawa Wanaume kuvaa hereni kisa zamani hazikuwepo?MKuu ukisema hivyo vp zamani yale mavazi yao waliyovaa yalikua na jinsia?
Maana wote wanaume kwa wanawake walivaa mavazi ya kuteremka kwa mfanano vp wao walikua hawakosei? Vazi la suruali limekuja hivi majuzi tu karne ya 15 au 16 kama sikosei.
Kwa nini hukumuuliza? pengine mkewe alipoanza kuvaa suruali tu ndipo alianza kuchepuka na hivyo jamaa ana uchungu na surualiKuna mambo yanastaajabisha. Siku moja nipo kwenye daladala kuna mlokole akawa kapanda akaanza kuhubiri.
Katika mahubiri yale akasema mwanamke kuvaa suruali ni dhambi. Nikajiuliza maandiko gani hayo yamesema hivyo wakati suruali zimekuja kugunduliwa majuzi tu?
Pili, nikajiuliza mbona watu wa zamani wake kwa waume walivaa mavazi ya aina moja mfanano na magauni au tuseme madera. Nadhani hoja wasivae suruali za kubana makalio.
Mambo ya kusema suruali dhambi kwa mwanamke ni upotofu. Vazi la suruali ni ubunifu tu wa mwanadamu.
Sawa ni desturi.Mavazi yako ndani ya desturi siyo Tamaduni na Mila,Tamaduni na mila ni mambo ya Makabila ila desturi ni kwa Taifa zima.
Mtoa hilo neno amesimamia hapa;Kuna mambo yanastaajabisha. Siku moja nipo kwenye daladala kuna mlokole akawa kapanda akaanza kuhubiri.
Katika mahubiri yale akasema mwanamke kuvaa suruali ni dhambi. Nikajiuliza maandiko gani hayo yamesema hivyo wakati suruali zimekuja kugunduliwa majuzi tu?
Pili, nikajiuliza mbona watu wa zamani wake kwa waume walivaa mavazi ya aina moja mfanano na magauni au tuseme madera. Nadhani hoja wasivae suruali za kubana makalio.
Mambo ya kusema suruali dhambi kwa mwanamke ni upotofu. Vazi la suruali ni ubunifu tu wa mwanadamu.
Hakuna mahali ambapo jamii ya watanzania imeruhusu wanawake wavae suruali,wanavaa kwa matakwa yao wenyewe na kwa mapenzi yao binafsi.Jamii ingekuwa imeruhusu kusingekuwa na malalamiko kila mahali.OK, Kama suala ni desturi na jamii imeruhusu wavae kwann inaleta shida? Au jamii nayo inapinga wasivae?
Tumerudi kwenye desturi siyo Biblia tena?Kwani Desturi ya watanzania mavazi yampasayo mwanaume ni yapi?
Pata elimu hapaTumerudi kwenye desturi siyo Biblia tena?
Kwa Desturi yetu mwanamke anavaa sketi ndefu, ila desturi zinabadilika, siku hizi wanavaa suruali, kwani umeona jamii ikiwakataza?
Desturi inalindwa na jamii. Kama ambavyo wewe ukivaa sketi utashambuliwa na jamii, ni jamii hiyo hiyo haimshambulii mwanamke kwa kuvaa suruali. Inamaana jamii inaona ni sawa mwanamke kuvaa suruali. Sasa kama biblia inafata desturi na jamii haina shida na mwanamke kuvaa suruali kuna tatizo?
Kama jamii haijaruhusu kwann hawashambuliwi kama mwanaume akivaa sketi? Embu nenda pale ubungo uanze kukamata waliovaa sketi uone kama hutapelekwa polisi.Hakuna mahali ambapo jamii ya watanzania imeruhusu wanawake wavae suruali,wanavaa kwa matakwa yao wenyewe na kwa mapenzi yao binafsi.Jamii ingekuwa imeruhusu kusingekuwa na malalamiko kila mahali.
Pata elimu hapa :
Warumi 1:26
"Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili"
Kwasababu ya tamaa zao Mungu amewaacha wachague wanachotaka
Biblia haina tatizo, tatizo ni unavyoitafsiri. Nimekuuliza mavazi yamfaayo mwanamke kwenye biblia ni yapi ukasema ni desturi zetu.Pata elimu hapa
Warumi 1:26
"Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili"
Wao wameamua kufuata tamaa zao binafsi basi Mungu amewaacha wafanye wanachotaka
Hapo ndipo kwenye kiini cha dhambi,ili dhambi ifike kwenye vilele ni lazima kwanza ionekane ya kawaida,hivyo kuvaa suruali imeonekana kawaida kwasababu ya dhambi.Kama jamii haijaruhusu kwann hawashambuliwi kama mwanaume akivaa sketi? Embu nenda pale ubungo uanze kukamata waliovaa sketi uone kama hutapelekwa polisi.
Ila ukikutana na mwanaume aliyevaa sketi jamii hiyo hiyo iliyokupeleka polisi itakusaidia kumwadhibu.
Mimi nachofikiri tukataze wasivae zinazoshika miili hapa ndiko iliko hoja.Vipi kuhusu hereni,zilikuwepo hiyo karne? utasema ni sawa Wanaume kuvaa hereni kisa zamani hazikuwepo?
Unaweza ukavaa Dera na kwenda sokoni? huwezi kufanya hivyo coz hili ni vazi la jinsia ya Kike,
Hii imeongelewa in general,Wanawake wasijifananishe na Wanaume wala Wanaume wasijifananishe na wanawake.
Sawaaa, ila sasa ni mavazi yapi? Kama desturi yetu wanawake wanavaa suruali na jamii haina shida kwann iwe dhambi wakati imeshaachana na hiyo desturi kuwa wanawake wasivae suruali? Mbona jamii zimeachana na kukeketa wanawake husemi kuwa tuendelee kukeketa sababu kuachana na desturi ni dhambi na MUNGU ametuacha sababu tumeshaizoea hiyo dhambi ya kutokeketa wanawake?Hapo ndipo kwenye kiini cha dhambi,ili dhambi ifike kwenye vilele ni lazima kwanza ionekane ya kawaida,hivyo kuvaa suruali imeonekana kawaida kwasababu ya dhambi.
Neno la Mungu halitapita kamwe,huyu ni Yeye yuleyule wa Jana,leo na hata milele ndiye aliyetamka ya kwamba
"Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa Bwana, Mungu wako."
Endelea kuwatetea mkuu hapa ni uchaguzi tu wala hakuna anayekulazimisha
Hapa umeongea point kubwa sana. Ishu siyo suruali, suruali gani? Wanawake wanavaa sketi, ila siyo kila sketi ni sahihi. Ikiwa fupi sana ni tatizo. Biblia haitaki mambo yanayohamasisha Zinaa.Mimi nachofikiri tukataze wasivae zinazoshika miili hapa ndiko iliko hoja.
Huyo sio mlokole atakua msabato walokole mboni wananyuka chubana vizuri tu na hakuna malalamiko yoyote,Katika mahubiri yale akasema mwanamke kuvaa suruali ni dhambi.
Kuvaa suruali siyo desturi ya mwanamke wa kitanzania,ndiyo maana siyo jamii zote za wanawake huvaa suruali,desturi ya mwanamke wa kitanzania ni kuvaa sketi,hii ni desturi ya Taifa zima.Sawaaa, ila sasa ni mavazi yapi? Kama desturi yetu wanawake wanavaa suruali na jamii haina shida kwann iwe dhambi wakati imeshaachana na hiyo desturi kuwa wanawake wasivae suruali? Mbona jamii zimeachana na kukeketa wanawake husemi kuwa tuendelee kukeketa sababu kuachana na desturi ni dhambi na MUNGU ametuacha sababu tumeshaizoea hiyo dhambi ya kutokeketa wanawake?
Ukiona ananyuka chubana huyo ni mfuata mkumbo halijui neno la Mungu lisemavyoHuyo sio mlokole atakua msabato walokole mboni wananyuka chubana vizuri tu na hakuna malalamiko yoyote,