Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Hawa watu ndo chanzo cha migogoro yote katika kila ofisi
Hawa watu anaweza kua anakuchekea lakn anakufanyia majungu hata shetani mwenye anatamani ajifunze somo kwao
Hawa watu wapo kama miungu watu hawakosea na sisi wengine ni subhuman
Hawa watu kusengenya ndo kipaji chao kikuuu ondoka tukuseme
Hawa watu ni makatili
Bora uishi na kobazi wa Afghanistan unasema huyu ataniua muda wowote kwahyo nawe unakua standby mode kuliko kukaa na mlokole anakuua bila kutegemea huku anacheka
Aiseee