Mkuu dogo kobaz nje ya mada.

Tofauti na kutapika hivi mtu unaweza kuondoa nyongo kwa KUNYA?

Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa 🙏🏿 🙏🏿

adriz de mbusii
 
Kusengenya hakuna uhusiano na imani ya msengenyaji.

Nafanya kazi hapa kwenye Ofisi ya Mtendaji Kata ya Igwanyenja na walutheri, wakatoliki, walokole na waislamu na hao wote ni wasengenyaji wazuri sana pamoja na tofauti zao za kiimani
 
Mkuu ndio wanateka watu na kuua?
 
Tusubiri kesho kuanzia saa nne muziki itakuwa upo juu bila kusahau wapo kwenye kwaya sasa majirani kazi wanayo watakuja muda si mrefu
 
Kuna hili tatizo la maoni, hisia na experience uliyopitia sehemu au Kwa watu fulani kutaka kuwa ndio jibu zima la jumla,

Mtoa mada usipende kutoa majibu ya jumla Kwa majibu binafsi.
 
Kiuharisia Walokole si watu ni Misukule, hivyo kua na tabia za kuzimu ni jadi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…