AXIOM APEX VERBOSE JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 13,769 Reaction score 23,676 Jun 29, 2026 #41 Kubwa la Maadui said: Hawa watu wapo kama miungu watu hawakosea na sisi wengine ni subhuman Hawa watu kusengenya ndo kipaji chao kikuuu ondoka tukuseme Hawa watu ni makatili Click to expand... Shekhe nini kimekukuta umelishwa Nguruwe?
Kubwa la Maadui said: Hawa watu wapo kama miungu watu hawakosea na sisi wengine ni subhuman Hawa watu kusengenya ndo kipaji chao kikuuu ondoka tukuseme Hawa watu ni makatili Click to expand... Shekhe nini kimekukuta umelishwa Nguruwe?
ANT DRUGS JF-Expert Member Joined Dec 20, 2013 Posts 5,578 Reaction score 7,055 Jun 29, 2026 #42 Kuna hao wamama wa KKKT nipo nao ofisi moja ni balaa tupu. Una hoja usikilizwe.