Waluguru wanafukia ufuo wa maiti chumbani

Na baada ya kusakafiwa mke wa marehemu au ndugu wa karibu atakaa juu yake..

Na ww uache ku expose mila za watu
Sio mila ni Sheria za dini tu, mtu akioshewa ndani kwake ufukiwa hapo na unasakafia kama kawaida na hata tiles hukaa na maisha huendelea, ule ni uchafu kama uchafu mwingine.
 
Na sio warugulu wote wanafanya hvyo,mfano wale wa upande wa Mgeta ambako ukristo ndio umeshamiri zaidi sidhani kama wanafanya hivyo,hivyo hiyo inawezekana sio mila halisi ya kirugulu na ndio maana wa upande huo hawamtendei marehemu wao hivyo
Watu wa Mgeta hawana hiyo kwa kuwa wameathiriwa na ukristu. lakini hata mazishi ya sasa sio sawa na yalivyokuwa kabla ya athari zote za ukristu na uislam
 
Ni kweli, hiyo Mila IPO!

Ni kawaida Sana huko milimani!
Sema Tu watu siku hizi wameweka floor za cement na tiles!
 
Basi lala kitoto cha babu. Usiku nitakubembekeza

Wanipa rahaaa, dunia yote naiona yangu...

Wanipa rahaa, usingizi wangu Big Sam πŸ’•

Kwako sifurukuti, natii bila shuruti...

Alontangulia (Bibi Sky) namtambua, heshima yake nampa.... ila asinizuie penzi langu kukupa.....

Chukua, chukua Babuu chukuaaaa, yote yakoo....πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œ.

Kasie Mahaba Matata.
 
WTF..damn!
 
Manina zao
 
Hii comment nimeisevu kwa ajili ya matumizi ya baadae.

Babu navopenda kupendwa sasa....

Na navyopenda misifa sasa


Ngoja nigonge K Vant wakati narudia kuisoma
 
Hii comment nimeisevu kwa ajili ya matumizi ya baadae.

Babu navopenda kupendwa sasa....

Na navyopenda misifa sasa


Ngoja nigonge K Vant wakati narudia kuisoma

Aahahahahaaa....!!

Nasinzia nikikuwaza ooohhh....!

Malabuku zako, unaacha kugonga Ka Matata unagonga K Vant....

wivu umenishika maeneo nyetii πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜…
 
πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜†.....
 
Aahahahahaaa....!!

Nasinzia nikikuwaza ooohhh....!

Malabuku zako, unaacha kugonga Ka Matata unagonga K Vant....

wivu umenishika maeneo nyetii πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜…
Usiende mbali namiii, mimi bado nakupenda


Wanatimua mavumbi sisi twalaaaa

Wanataka mapinduzi, na mapinduzi hawayaweziiiii

Wigowaaaan
 
Kuwa na akili,
Punguza "personal attack"
Jibu hoja bila kumu-attack mtu.

Ufuo ni kinyesi kinachokamuliwa kutoka ndani na sio usafi wa nje wa maiti ambao hutolewa kwa kukamuliwa.

Sasa Mungu anashida gani na kinyesi cha ndani ya tumbo lako baada ya wewe kufa?

#YNWA
 
Mkuu wewe utaishi humo baadae?

Ikiwa wenyewe hawahangaiki kuishi na hayo maji ya kafini wewe ambae hautakuwepo unahangaika nini mkuu

Acha kuumia kwa vitu ambavyo havitakuhusu moja kwa moja
Haache na umbea kusema na kuchunguza ya watu, kutoa Siri kitu si kitu, ungekuwa ps Kama Mimi ungesema mengi ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…