Waluguru wanafukia ufuo wa maiti chumbani

Dah!
 
Sasa Kapotosha nini hapo mbona umepita mule mule...

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Ujinga wako umekosa pakuupeleka pumbafu wew?
 
Hata wakristo wanaoshwa na kusafishwa mavi,usaha,damu na uchafu mwingine.Wapo watu wakifa,wanajinyea.Wengine wanajikojolea,bila kuoshwa unafikiri mngweza kuaga au kumuombea.Ni kwa vile wakristo,wanawalipa watu maalumu wa kutisha,ndio hawajui hilo.
Kinachoongelewa ni kakamua mtu mavi. Siyo huo uchafu unaousema tunaujua, na tunajua kama mtu akifa unatoka wenyewe.
Acha kupindisha pindisha maneno.
 
Visingizio vya kushambulia dini za wenzenu vyengine huwa vya ajabu sana. Hivyo vya kuvisha masuti wakati wa kuzika ndiyo vya dini yenu ya asili?

Kwani ukiweka maiti hata mwezi mmoja ndiyo atarudia kuwa hai? Na hiyo refrigeration technology si inakuwepo mjini tu mpaka hii leo?
 
Unaongelea mila na tamaduni za makabila ya wenzako....ukishamaliza hebu tupandishie uzi wa mila na tamaduni za kabila lako kwani hwenda ninyi ni viumbe wa kutoka sayari ya Mars 🤣🤣
 
🤣
 
Duh... kumbe Mleta hoja kasema ukweli. Mi nilidhani anatania..

Kwahiyo hayo mavi wanayatoaje?

Mtoa mada hajaongea ukweli wowote hapo!mwanadamu mwenye imani ya kiislam anapofariki inatakiwa aoshwe,kukafiniwa (kuvishwa vazi la sanda) ,kusaliwa na mwisho kabisa kuzikwa.Katika tendo la kuosha muoshaji ataminya tumbo la marehemu kama kuna uchafu utoke kwa sababu maiti ya kiislam inapokelewa ndani ya kaburi na watu 3,5 au witiri yoyote ile kulingana na ukubwa wa kaburi!hivyo basi kama marehemu viungo vyake vitakua havina ushirikiano sababu ya kua maiti,wakati watu wanampokea kwenye mwana ndani uchafu unaweza kutoka na kutoa harufu hivyo ikawa kama amedhalilika,kiufupi hiyo ni ustaarabu na wala haina ulazima kumkamua mavi!!na neno kukafini maana yake ni kumvika sanda na si kukamua mavi..
 
Acha kuishambulia na kuidharau hiyo imani ya watu, unapaswa kujua kuwa si kweli kuwa wasio waislam wote wanavalisha suti marehemu, na sikweli kuwa wooote huchelesha kuzika:myopic. cha msingi ni kuwa kinachokuwa practiced na uislam ni mila za waarabu
 
Acha kuishambulia na kuidharau hiyo imani ya watu, unapaswa kujua kuwa si kweli kuwa wasio waislam wote wanavalisha suti marehemu, na sikweli kuwa wooote huchelesha kuzika:myopic. cha msingi ni kuwa kinachokuwa practiced na uislam ni mila za waarabu
Sasa hapo aliyedharau imani ya wenzake ni nani? Kwa hivyo nyinyi munaona kila kitu kinachofanywa na waisilamu kinatokana na waarabu lakini vya kwenu vinatokana na mila zenu. Kama huzijui mila za watu ni vyema uombe kueleweshwa kuliko kufanya conclusions zako mwenyewe.

Hata na wewe uko myopic vile vile kwa kufanya conclusions zisizokuwa na mashiko.
 
vp kuhusu kuwekewa maji na kinyesi mkuu da mbona ni hatari mi huwa napendaga sana kula misibani kwenye bufee lakini
 
Mmh hapana kwa kweli kama mambo yenyewe ndo haya na nyumba uhame kabisaaaaaa tena nenda mbali na hapo ikiwezekana hama mkoa,mambo gani ss haya!
haya mambo ya kununua nyumba mjini unaweza kuuziwa nyumba yenye makafini ndani ukalala chumba chenye mavi miaka hata 50
 
Hakuna atakayekuelewa japo akili ikitumika vyema kuna mambo ikiwemo hili ulilolipigia kelele, mtu hawezi fanya hata siku moja.
 
Ulikuja bila mavi
Utaondoka bila.mavi.

Unaacha kila kitu duniani, unaondoka super empty
Yale wanayo achiaga watoto wachanga wanapozaliwa huwa yanatoka wapi au huwa wanakula kwanza ndiyo wanajisaidia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…