Waluguru wanafukia ufuo wa maiti chumbani

Nyumba zoote za zamani watu walijenga na kuacha chumba kimoja bila kuweka sementi wala zege ilikuwa maalum kwa ajili ya kuoshea maiti.Hasa nyumba za waislam. Baadae yakaja mabeseni ya mapipa marefu sana ili kukingia maji ya kuoshea maiti. Zamani nyumba za wailslmu lazima ukute na kitanda cha kamba.Huo ndiyo utaratibu wetu na dini yetu.Sema weee hujui ndiyo maaana imekushangaza.
 
Hakuna binadamu anae kuja duniani pasina kinyesi tumboni.
Mtoto akiwa tumbon hali wala hapumui ivo hana kinyesi. Huishi kwa kutegemea mzunguko wa damu wa mama ambao humpa chakula (nutrients) na hewa(oxygen) pia kuondoa wastes vitu ambavo viko in molecular form kupitia umbrical cord au kitovu hivo haiwez tengneza kinyes ata cku moja pia kwa kukuongezea mtoto anahitaj kulia anapzaliwa ili kuboost mapafu yake kwakua yalikua inactive akiw tumbon sababu mle hapumui
 
Hakuna binadamu anae kuja duniani pasina kinyesi tumboni.
Nmekupa tu elimu mkuu japo mi sisapoti mambo ya kukamua haja kubwa maiti sioni umuhimu wa ilo otherwise dead body ina tatizo litalohtaj kufanyike ivo kutokana na type ya death
 
 
Sasa ndo unapaswa kukiacha ili ukienda kupewa mabikra 70 uwe msafi yaani hata ushuzi unauacha duniani usije ukawatess mabebez na makande yako ya duniYani
Ivi dini ya haki haijazungumzia kwa upande wa wanawake waliotenda mema duniani kukuta miamba rijali 70 inawasubiri?
 
Ptuuuuuuh...!
 
Ulikuja bila mavi
Utaondoka bila.mavi.

Unaacha kila kitu duniani, unaondoka super empty
IPATE HII:

Mtu ni Mwili, Roho na Nafsi

Mungu alimzawadia Binadamu mwili kwaajili tu ya kuihifadhi Nafsi yake. Mwili ni kama body yu ya gari inayohifadhi Injini

MUNGU hatahukumu mwili huu, Mungu atakuhukumu wewe (NAFSI)

Huu mwili ni mavumbi tu na utaishia kuwa mavumbi tu.

Uzikwe na mavi (uchafu) wako au usizikwe nao HAIJALISHI

Muhimu sana ni utakufa katika hali gani kiroho/Nafsi?

Uhusiano wako na Mungu utakuwaje wakati unakata roho?

Uhusiano wako na binadamu wengine ulikuaje?

Tuachane na mambo ya mwili huu unaoharibika na baadae kuwa mavumbi
 
[emoji23]
 
@mgen hajui hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…