OLS
JF-Expert Member
- Oct 12, 2019
- 426
- 685
Mluguru hana tamaduni ya kukamua mavi kwa asili, hii imekuja baada ya kuiteract na waislamu ambao tamaduni zao ziko visible kwa kiasi kikubwa uluguruniMimi pia nashangaa, point ya kumkamua mavi ni nini, akizikwa na hayo mavi kuna madhara gani! Naona ni upumbavu tu.